Tiivii yao haina mvuto. Wamefunga zote za ndani tusizione kupitia DStv zikabakia clouds 2 wasafi na tve. Ssas wameondoa wasafi.Hivi hawa tisiaraei hawaonagi vifurushi vya mitandao kila siku wao na tv tu..😅
Msimamo wetu Ni ule ule Bora kuangalia katuni DStv kuliko ...............