Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa.
Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.