PreGE2025 Rungwe asema wao lengo lao ni kuwapambania wananchi wapate chakula (ubwabwa)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa.

Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
 
View attachment 3355464
Anachokisema Mwenyekiti nintofauti na hoja za Kina Mrema🤣🤣🤣🤣
 
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa.

Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
View attachment 3355464
Sa si aende wizara ya kilimo akapeleke pendekezo lake la chakula kwa wananchi kuliko kusumbua watu
 
Back
Top Bottom