Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
kumeanza kuchangamkaShughuli imeanza!
Anachokisema Mwenyekiti nintofauti na hoja za Kina Mrema🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa.
Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
View attachment 3355464
Kwa hiyo unataka kusema nini mkuu? Kwamba mzee katekwa?Anachokisema Mwenyekiti nintofauti na hoja za Kina Mrema🤣🤣🤣🤣
Sa si aende wizara ya kilimo akapeleke pendekezo lake la chakula kwa wananchi kuliko kusumbua watuMwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa.
Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini kutokupewa ubwabwa wakati wanalipa kodi.
View attachment 3355464
Yani wapumbavu kabisa, yani wanamaliza tu kodi zetu.Embu hawa jamaa wajaribu kuwa serious. Wasione kila Mtanzania ni mjinga kama wao.
Na walitegemea Mwanza wanawakubali sana hivyo kufanya Mwanza kuwa starting point Yao. Kumbe Ziii!Jana kitu kimewadidea hukoMza dadeq - watangqnyika mpo vizuri sana uzwazwa sasa baaasi.
Yani Singo Kigaila anatamani amakate makofi anaona kama anawesha hawa watamoindua ngoja wamalize mweziKwa hiyo unataka kusema nini mkuu? Kwamba mzee katekwa?