Tetesi: Rungwe Kugawanywa tena, jimbo moja kuongezeka

Leo kuna mtu kakulalia?? Mbona unachangia uharo?? Kwani CCM ndio inagawa majimbo?? [colour=red]Kama CCM inagawa majimbo basi ni kweli Tume ya uchaguzi ni CCM kama inavyodaiwa[/color] huwezi kuwa na akili za darasa la kwanza B kama hivi ndg

Endelea kuota kuwa Tume ya uchaguzi ni huru, na sio tume tu hata mihimili, vyombo vya usalama na taasisi mbalimbali hakuna iliyohuru na inahudumiwa kila kitu na serikali.

Ni ujinga kujiaminisha kuwa unaBunge huru huku maagizo na huduma za msingi zinategemea huruma ya serikali hasa Raisi

Ni ujinga kujiaminisha una mahakama huru, huku zikipangiwa kesi za kusikiliza kwa mwaka, zikishindwa zinatumbuliwa na serikali ya CCM....Hujiuliza Jaji,Afisa wa jeshi la JWTZ, Afisa wa Polisi wakishastaafu wanakuwa wanachama watiifu wa CCM na hata kugombea nafasi mbalimbali.

Huwa hujiulizi wanakuwa wamejiunga lini na CCM.?
Ni ujinga kujifanya hujui kitu ambacho unakijua.![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Anaota baba yako basii
 
Hapo ndipo utakapoona tofauti ya CCM na vyama vingine, wakati CCM wanaanza mikakati leo ya 2020 kuna watu wanasubiri kubadili gia angani miezi sita kabla ya uchaguzi.
What happened to you idawa?? Sio tena yule idawa wa 2012?? Anyway hapo mkakati ni upi kma sio uhuni tu... yaani kwa akili zako kma wamegawa jimbo unafkiri watakubali dr tulia aangushwe hta kma kweli hakubaliki huko?? Kubaka demokrasia ni mkakati??
Ina maana chadema ilikuwa haijaandaa mgombea kabla ya lowassa?? Hakuwa dr slaa?? na je hakuwa huyo slaa wako aliemleta lowassa chadema???
Idawa what happened to you umebadilika sana
 
Hapo ndipo utakapoona tofauti ya CCM na vyama vingine, wakati CCM wanaanza mikakati leo ya 2020 kuna watu wanasubiri kubadili gia angani miezi sita kabla ya uchaguzi.

Kwa hiyo wewe kama Mtanzania unatoa mawazo gani kwa vyama vingine visibadili gia angani naona kama unalaumu
 
Endelea kuota kuwa Tume ya uchaguzi ni huru, na sio tume tu hata mihimili, vyombo vya usalama na taasisi mbalimbali hakuna iliyohuru na inahudumiwa kila kitu na serikali.

Ni ujinga kujiaminisha kuwa unaBunge huru huku maagizo na huduma za msingi zinategemea huruma ya serikali hasa Raisi

Ni ujinga kujiaminisha una mahakama huru, huku zikipangiwa kesi za kusikiliza kwa mwaka, zikishindwa zinatumbuliwa na serikali ya CCM....Hujiuliza Jaji,Afisa wa jeshi la JWTZ, Afisa wa Polisi wakishastaafu wanakuwa wanachama watiifu wa CCM na hata kugombea nafasi mbalimbali.

Huwa hujiulizi wanakuwa wamejiunga lini na CCM.?
Ni ujinga kujifanya hujui kitu ambacho unakijua.![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umemaliza.Asante Sana.
 
Back
Top Bottom