Tetesi: Rungwe Kugawanywa tena, jimbo moja kuongezeka

ndugai 2020 hata asijisumbue kutaka kukaa kitini mwenye kiti chake anaandaliwa mazingira
 
Kama ilivyo nakujaga na info za kutokea kule mkoani kwetu Mbeya. Kuna taarifa nyeti toka kwa watoa hizi taarifa kuwa Jimbo La Rungwe litagawanywa mara mbili.

Kumbuka miaka michache tulikuwa na Rungwe Mashariki na Rungwe Magharibi ikavunjwa, na 2015 tukaletewa Rungwe ambayo Sauli Amon ndio mbunge kwa sasa, na Busokelo kwa Mwakibete kwa sasa hili jimbo analoongoza Sauli Amon litagawanywa na kuwa majimbo mawili yaani Rungwe na jimbo la Ukukwe.

Iko hivii jimbo la Ukukwe litaanzia Kata zote za tukuyu mpaka ikuti mpka huku ndagha.Na jimbo lingine litakuwa na kata za Masoko,Masukulu,Suma, Mpuguso kisondela na makao yao yatakuwa ushirika pale.

Lengo ni kumleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni naibu Spika aje agombee huko.

Kama mnakumbuka miezi ya August na September kulikuwa na Kongamano la ngoma za Kinyakyusa tunaitaga "Mpalano" kwetu.

Basi hilo ndio lilikuwa lengo la kumtangaza zaidi Dr. Tulia asije akawa mgeni kwenye macho ya watu.

Namaliza hivii... Mtanikumbuka kwa haya maneno.

Friday Malafyale gwa kukajaaa.
Tatizo lipo wapi?
 
Huyu Tulia Nia Yake Ilikuw Agombee Mbeya Mjini..
Nadhani Kuna Watu Wenye Akili Timamu Walimwambia "SUGU" Atamuaibisha..

Turudi kwenye point::
Ina maana watanagawanya Jimbo Ili tu Tulia Awe Mbunge,Na sio kwa sababu za kimaendeleo...?

Wasilifikishe Ndaghaa hilo jimbo,wasafwa hawawezi kuongozwa na mnyakyusa
 
Sasa hivi wanaongozwa na nani?
 
Kama ilivyo nakujaga na info za kutokea kule mkoani kwetu Mbeya. Kuna taarifa nyeti toka kwa watoa hizi taarifa kuwa Jimbo La Rungwe litagawanywa mara mbili.

Kumbuka miaka michache tulikuwa na Rungwe Mashariki na Rungwe Magharibi ikavunjwa, na 2015 tukaletewa Rungwe ambayo Sauli Amon ndio mbunge kwa sasa, na Busokelo kwa Mwakibete kwa sasa hili jimbo analoongoza Sauli Amon litagawanywa na kuwa majimbo mawili yaani Rungwe na jimbo la Ukukwe.

Iko hivii jimbo la Ukukwe litaanzia Kata zote za tukuyu mpaka ikuti mpka huku ndagha.Na jimbo lingine litakuwa na kata za Masoko,Masukulu,Suma, Mpuguso kisondela na makao yao yatakuwa ushirika pale.

Lengo ni kumleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni naibu Spika aje agombee huko.

Kama mnakumbuka miezi ya August na September kulikuwa na Kongamano la ngoma za Kinyakyusa tunaitaga "Mpalano" kwetu.

Basi hilo ndio lilikuwa lengo la kumtangaza zaidi Dr. Tulia asije akawa mgeni kwenye macho ya watu.

Namaliza hivii... Mtanikumbuka kwa haya maneno.

Friday Malafyale gwa kukajaaa.
Alaa ndio maana mipalano haishi huko Tukuyu mitaa ya Makandana,nilikuwa najiuliza hii mipalano ambayo kila mara inakuwa na waheshimiwa kulikoni?na Tukuyu hawana utamaduni wa sana wa mipalano kama tulivyoshuhudia mwaka jana.
 
Back
Top Bottom