Tetesi: Rungwe Kugawanywa tena, jimbo moja kuongezeka

ndugai 2020 hata asijisumbue kutaka kukaa kitini mwenye kiti chake anaandaliwa mazingira
 
Tatizo lipo wapi?
 
Huyu Tulia Nia Yake Ilikuw Agombee Mbeya Mjini..
Nadhani Kuna Watu Wenye Akili Timamu Walimwambia "SUGU" Atamuaibisha..

Turudi kwenye point::
Ina maana watanagawanya Jimbo Ili tu Tulia Awe Mbunge,Na sio kwa sababu za kimaendeleo...?

Wasilifikishe Ndaghaa hilo jimbo,wasafwa hawawezi kuongozwa na mnyakyusa
 
Sasa hivi wanaongozwa na nani?
 
Alaa ndio maana mipalano haishi huko Tukuyu mitaa ya Makandana,nilikuwa najiuliza hii mipalano ambayo kila mara inakuwa na waheshimiwa kulikoni?na Tukuyu hawana utamaduni wa sana wa mipalano kama tulivyoshuhudia mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…