The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Wachaga wanawaonea nyie huko ila kwa Wahaya waligonga mwambaMimi wachagga nawalinganisha kama South Africans na jinsi wanavyoiona Africa na waafrica wengine.Kama mchagga hajatembea sana akifika wilaya moja nje ya kwao anashangaa na kuona kuwa kuna umaskini mwingi. Kwa kuwa tu analingansha na Kwao!! Mama ila yetu mengi hata yake yenye utajiri wa mali nyumba hawajui kama ni kitu muhimu. Lakini mchagga labda awe maskini sana na hana mtoto mwenye uwezo ndipo atashindwa kujenga
Mleta maada nahisi hajuai kutofautisha umaskini ni upiKama hautajali.... Rungwe ni maskini ukilinganisha na wapi mkuu? Mbona kupo poa tu Chakula cha kutosha, maji yapo na huduma zingine zipo?
Huyu ndio ametoka kwa shemeji yake ameanza kutembea nje ya mkoa wake[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!
Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?
Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea
Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
Rungwe hiyo ina wasomi wengi Sana wa kinyakyusa kiasi kwamba inabidi waiokoe hiyo wilaya . Msilaumu Sana mna opportunity ya Wasomi wengi TanzaniaNilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.
Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.
Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.
Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.
Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.
Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
Mimi kwetu MaranguMtoa mada umefika Rungwe ukitokea wapi? na umepitia ruti gani kufika Rungwe?. ina maana kote huko ulikopita wameizidi Rungwe?. ukifikia hatua ya kuanzisha mada kuwa Rungwe ni masikini basi wewe huijui vizuri nchi yetu.
Isije kuwa tunakulaumu bure wakati mwenzetu umetoka New York
Hai,Rombo,Muleba,siha na karagweKama rungwe ni wilaya masikini sana na wakazi wake masikini sana na hawana elimu . Kati ya wilaya zaidi ya 120 Tanzania. Nitajie wilaya 5 tu zilizoishinda rungwe
Elimu gani? Hakuna wasomi, wanyakyusa ilikua zamani tena wachache tu sasa hivi hakuna kitu hata Iringa wamewapita sanakuhusu miundombinu nakubalianawe 100%. Kuhusu elimu umeongea upumbavu. Kuhusu umaskini pia sikubaliani nawewe
Wee mpumbavu nn ntwara kumefanyaje? Ntwara gani hii ya gesi ambayo tuna nunua cement 12000 acha kulinganisha vitu va kijinga na ntwaraKwa hoja hii ndiyo nimeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna makabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.
Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.
Mtwara hovyo Sana huko. Mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba ni kumeendelea lkn ukweli pamechoka Sana. Mkoani ni sawa na tarafa ya Ijigha tu. Hovyo kabisa huko, kuoeni panya tu.Wee mpumbavu nn ntwara kumefanyaje? Ntwara gani hii ya gesi ambayo tuna nunua cement 12000 acha kulinganisha vitu va kijinga na ntwara
Tafiti ujibiwa kwa tafiti na sio vinginevyo na wewe toa ya kwako kumjibuRungwe sio maskini kama unavyoinanga hapa, nadhan hujatembea hii nchi over.
Mkuu matusi sio mazuri ase.. hili tusi baya Sana unamkosea heshima mzazi wa mtoa mada.
Mtoa mada aende wilaya ya Liwale-lindi atakuja kukanusha huu uandishi wake.Kwa hoja hii ndiyo nimeelewa kuwa huijui Rungwe na huwajui watu wa eneo hili. Kwenye suala la elimu nchi hii Kuna makabila 3 tu ambayo yaliichangamkia mapema:-wahaya, wachaga na wanyakyusa (wenyeji wa Rungwe). Maeneo mengine wazazi wameanza kusomesha watoto baada ya serikali kujenga shule za kata.
Hivi mtoa mada umewahi kufika maeneo ya mikoa ya kusini? Lindi na Mtwara.
hhahahahahahahahHii wilaya ndiko wanakotoka Prof. Mwandosya na Tulia Ackson. Kwa hiyo hawa watu hawana weredi wa kuisaidia leo au huko nyuma? Labda ndio maana Tulia kagombea Ubunge Mbeya badla ya kwao Rungwe, akijua hajawa na msaada wowote kwao wangempiga chini.
Nakumbuka mbunge wao Amon aliulizwa shida ya wananchi katika wilaya yake akasema ugumu wa biashara ya vipodozi - na bado ameshinda kura za maoni!
we mwenyeji wa wapi?Nimefika lakini bado Rungwe ni masikini sana ndugu yangu.
wakome!Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu choka mbaya sana wako kwenye lindi la umasikini.
Bahati mbaya sana wilaya hii haina watu wenye weredi wa kuwatetea hata kuwasemea ili kusaidia kuleta maendeleo na hata Mbunge wao yuko busy na bisahara zake, siwezi shangaa kwanini walimchagua kwa hali ilivyo ya wilaya ni rahisi sana kuweka mtu asiye na hata influence yeyote ya hata kuwasemea li walau serikali iwaangalie kwa jichola huruma.
Kuna haja sana ya serikali kuangalia uwezekano kuzisadia sehemu ambazo ziko nyuma sana na zimesahaulika hasa maeneno ya mikoa hii ya kusini ambayo iko pembezoni mwa Nchi.
Miundombinu ya barabara imechakaa sana na kizamani sana, wenyeji wanamkumbuka Mwalimu ndiyo angalau awamu yake aliwakumbuka, bahati nyingine mbaya sana wilaya hii hata mtu akisoma kidogo basi harudi tena kwao na wala hawana destrui hata yakusaidiana, kabila lao wengi ni wabinafsi na wenye kupendenda kutukuzwa na hawapendi wenzao wainuke kabisa tofauti wenzao maeneneo mengine ambao husaidiana na kuinuana sana.
Kwa watu wa mikoa mingine kama manataka ardhi nzuri ya kilimo bwerere nendeni wilaya ya rungwe maana wenyeji wamelala usingizi wa pono hawajui duniani kunaendaje, mimi naanza kununua ndizi na kupeleka Dar kwafaida kubwa maana mkungu wa ndizi mpaka buku tano.
Mwisho Rungwe jitahidini msomeshe watoto wenu shule acheni mila za kuona kusoma ni usumbufu kwa watoto wenu na serikali iitazame wilaya hiyo kwa jicho la huruma keki ya taifa ifike kule pia maana ni sehemu ya Tanzania.
Aisee Linda nilifika miaka ya nyuma, nilishukia Airport ya mtwara tukaendesha mpaka Lindi wako nyuma sana labda kama imebadilika kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]toka jamiiforum ianze sijawahi ona mtu mjinga na muongo kama wewe!
Rungwe ni masikini? Kivipi? Kulinganisha na wapi?
Rungwe ilikuwa na umeme karibu asilimia 70 ya vijiji vyao vyote before ujio wa rea
Umewahi fika kongwa, Lindi, buhigwe,tanganyika,?
kwahiyo kutoka marangu mpaka unafika rungwe hukuona umaskini huko njiani kama uliouona Rungwe?Mimi kwetu Marangu
sawa bwana, huo ni mtazamo wako siwezi kukubishiaHai,Rombo,Muleba,siha na karagwe