Pre GE2025 Rungwe: Sugu aendelea kuiteketeza CCM Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamaa wanajipigia tu huko Tanga na Same mambo moto
 
Wamejitambua. Haaaaa haaaa
 

TULIA lazima apate presha hapa .... Sitashangaa kama hawataligawa jimbo kumsaidia.
 
Mara nyingi nakuona upo ki kupima tu upepo ila elewa tu na ufungue moyo wako......CCM kuwashinda CHADEMA pasipo janja janja ni ngumu mno ...hata Makonda analijua hili kamuulize vizuri..tu.Na CCM naowaona bado wanatumia mbinu ileile ya kizamani ya siasa za umaarufu wa mtu mmoja na CHADEMA imeshavuka huko...huwezi kuwatikisa kwa kumpandisha majukwaani Msigwa au Upendo Peneza.Kwa sasa hakuna mtu mwenye kuondoka CHADEMA na akaleta damage.Msigwa na CCM hawana uwezo kabisa wa kuwa mudu CHADEMA kimukakati kiasi cha kuweza kuwadhoofisha Kanda ya Nyasa tena chini ya uratibu wa Mwenyekiti Sugu?!Au CCM eti wampeleke Upendo Peneza akawadhoofishe CHADEMA Kanda ya Ziwa Viktoria?!Peneza alimshinda Kanyasu wa CCM ubunge wa Geita Mjini-2020 akaporwa tu kibababe na hilo halina mjadala ila haikuwa kwa nguvu zake mwenyewe bali ni za wapiga kura wengi wanaoiunga mkono CHADEMA na kwayo waliomuamini.Ameawaacha amerudi CCM lakini muitikio wa maandamano ya amani ya CHADEMA hapo Geita Mjini ya hivi karibuni yalituma ujumbe tosha kabisa kwake na CCM kwa ujumla kwamba wako imara bado na hawajatikisika.
 
Kwan nani alieufunga moyo wangu na kivipi aufunge gentleman 🀣

naona unazungumzia watu tu 🀣

siku mkianza kusambaratishwa na kuteketezwa ndio mtaaelewa tofauti ya kuzungumzia issues au kuzungumza kuhusu watu πŸ’

by the way upinzani kwa ujumla wake uchaguzi mkuu ujao hawawezi kuzidi 5% ya kura zote 🀣
 
Kwa hoja za kuondoa tozo na umasikini au kwa ubwabwa, tisheti na mileha Toka arabuni
hapana,
hoja za kuomba omba kuchangiwa vitu mbalimbali mara kwa mara kama vile magari, kesi n.kπŸ’
 
Kama hakuelewa hapa itabidi tupige ishara ya msalaba tu
 
Umeanza siasa lini?
 
Umeanza siasa lini?
Unasema wapiga kura kuanzia miaka 18 ni nani eti? πŸ’

Hebu rudia hapo eti umepigaje apo?

Kwamba huwezi kubishana na wananchi wapiga kura wa aina gani ili wakusubiri physically huku field mtaani?πŸ’
 
Mbona unascreen shot picha za zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…