CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Tuvuke daraja tutakapolifikia.hofu yangu ni pale atakapo anza kusambaratishwa na kuteketezwa yeye na chama chake, itakua ni aibu aise 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuvuke daraja tutakapolifikia.hofu yangu ni pale atakapo anza kusambaratishwa na kuteketezwa yeye na chama chake, itakua ni aibu aise 🐒
Msigwa utamsikia mwembe togwa tarehe 7 naona unampenda saana hakutoki mdomoni!Hadaa na wewe kwa mikutano ya Msigwa
Msigwa ni msukule tu kwa sasa akili zake ameshamkabidhi bumunda MakallaMsigwa utamsikia mwembe togwa tarehe 7 naona unampenda saana hakutoki mdomoni!
hao watakuwa wajinga kama lilivyo jina la sokoPale soko mjinga ndio kidogo pana machawa
Jamaa wanajipigia tu huko Tanga na Same mambo motoTulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
View attachment 3036133View attachment 3036134
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.
Ashakuwa kipenzi chako?Msigwa utamsikia mwembe togwa tarehe 7 naona unampenda saana hakutoki mdomoni!
Nani sasa!Ashakuwa kipenzi chako?
Kwa hoja za kuondoa tozo na umasikini au kwa ubwabwa, tisheti na mileha Toka arabunihofu yangu ni pale atakapo anza kusambaratishwa na kuteketezwa yeye na chama chake, itakua ni aibu aise 🐒
Wamejitambua. Haaaaa haaaaTulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
View attachment 3036133View attachment 3036134
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.
Kwisha habari yake!Msigwa utamsikia mwembe togwa tarehe 7 naona unampenda saana hakutoki mdomoni!
Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo maarufu la kibiashara la Kiwira na kuisambaratisha kabisa CCM bila huruma yoyote
Angalia hapa
View attachment 3036133View attachment 3036134
Angalizo: Si rahisi kwa Mkutano wa Chama cha kibwege cha siasa kukusanya umati kama huu Kiwira, Hii ni kwa sababu watu wa hapo wako bize mno na biashara zao, sasa ukiona wanaacha mambo yao na kuja kukusikiliza ni lazima ujue wanakuamini mno! CCM wamejaribu mara kadhaa hapa wamechemsha.
Mara nyingi nakuona upo ki kupima tu upepo ila elewa tu na ufungue moyo wako......CCM kuwashinda CHADEMA pasipo janja janja ni ngumu mno ...hata Makonda analijua hili kamuulize vizuri..tu.Na CCM naowaona bado wanatumia mbinu ileile ya kizamani ya siasa za umaarufu wa mtu mmoja na CHADEMA imeshavuka huko...huwezi kuwatikisa kwa kumpandisha majukwaani Msigwa au Upendo Peneza.Kwa sasa hakuna mtu mwenye kuondoka CHADEMA na akaleta damage.Msigwa na CCM hawana uwezo kabisa wa kuwa mudu CHADEMA kimukakati kiasi cha kuweza kuwadhoofisha Kanda ya Nyasa tena chini ya uratibu wa Mwenyekiti Sugu?!Au CCM eti wampeleke Upendo Peneza akawadhoofishe CHADEMA Kanda ya Ziwa Viktoria?!Peneza alimshinda Kanyasu wa CCM ubunge wa Geita Mjini-2020 akaporwa tu kibababe na hilo halina mjadala ila haikuwa kwa nguvu zake mwenyewe bali ni za wapiga kura wengi wanaoiunga mkono CHADEMA na kwayo waliomuamini.Ameawaacha amerudi CCM lakini muitikio wa maandamano ya amani ya CHADEMA hapo Geita Mjini ya hivi karibuni yalituma ujumbe tosha kabisa kwake na CCM kwa ujumla kwamba wako imara bado na hawajatikisika.unaelewa kuna aina Fulani ya visingizio havitawasaidia kupunguza moto wa CCM, havitakua na maana wala havitazuia kuwasambaratisha na kuwateketeza kabisa na kuwafutilia mbali kwenye medani ya juu ya siasa za Tanzania hususan kwenye eneo unalojigamba kuliteketeza 🐒
Kwan nani alieufunga moyo wangu na kivipi aufunge gentleman 🤣Mara nyingi nakuona upo ki kupima tu upepo ila elewa tu na ufungue moyo wako......CCM kuwashinda CHADEMA pasipo janja janja ni ngumu mno ...hata Makonda analijua hili kamuulize vizuri..tu.Na CCM naowaona bado wanatumia mbinu ileile ya kizamani ya siasa za umaarufu wa mtu mmoja na CHADEMA imeshavuka huko...huwezi kuwatikisa kwa kumpandisha majukwaani Msigwa au Upendo Peneza.Kwa sasa hakuna mtu mwenye kuondoka CHADEMA na akaleta damage.Msigwa na CCM hawana uwezo kabisa wa kuwa mudu CHADEMA kimukakati kiasi cha kuweza kuwadhoofisha Kanda ya Nyasa tena chini ya uratibu wa Mwenyekiti Sugu?!Au CCM eti wampeleke Upendo Peneza akawadhoofishe CHADEMA Kanda ya Ziwa Viktoria?!Peneza alimshinda Kanyasu wa CCM ubunge wa Geita Mjini-2020 akaporwa tu kibababe na hilo halina mjadala ila haikuwa kwa nguvu zake mwenyewe bali ni za wapiga kura wengi wanaoiunga mkono CHADEMA na kwayo waliomuamini.Ameawaacha amerudi CCM lakini muitikio wa maandamano ya amani ya CHADEMA hapo Geita Mjini ya hivi karibuni yalituma ujumbe tosha kabisa kwake na CCM kwa ujumla kwamba wako imara bado na hawajatikisika.
hapana,Kwa hoja za kuondoa tozo na umasikini au kwa ubwabwa, tisheti na mileha Toka arabuni
muda ni mwalimu mzuri sana 🐒Tuvuke daraja tutakapolifikia.
Ndiyo maana yakemuda ni mwalimu mzuri sana 🐒
Kama hakuelewa hapa itabidi tupige ishara ya msalaba tuMara nyingi nakuona upo ki kupima tu upepo ila elewa tu na ufungue moyo wako......CCM kuwashinda CHADEMA pasipo janja janja ni ngumu mno ...hata Makonda analijua hili kamuulize vizuri..tu.Na CCM naowaona bado wanatumia mbinu ileile ya kizamani ya siasa za umaarufu wa mtu mmoja na CHADEMA imeshavuka huko...huwezi kuwatikisa kwa kumpandisha majukwaani Msigwa au Upendo Peneza.Kwa sasa hakuna mtu mwenye kuondoka CHADEMA na akaleta damage.Msigwa na CCM hawana uwezo kabisa wa kuwa mudu CHADEMA kimukakati kiasi cha kuweza kuwadhoofisha Kanda ya Nyasa tena chini ya uratibu wa Mwenyekiti Sugu?!Au CCM eti wampeleke Upendo Peneza akawadhoofishe CHADEMA Kanda ya Ziwa Viktoria?!Peneza alimshinda Kanyasu wa CCM ubunge wa Geita Mjini-2020 akaporwa tu kibababe na hilo halina mjadala ila haikuwa kwa nguvu zake mwenyewe bali ni za wapiga kura wengi wanaoiunga mkono CHADEMA na kwayo waliomuamini.Ameawaacha amerudi CCM lakini muitikio wa maandamano ya amani ya CHADEMA hapo Geita Mjini ya hivi karibuni yalituma ujumbe tosha kabisa kwake na CCM kwa ujumla kwamba wako imara bado na hawajatikisika.
Umeanza siasa lini?Kwan nani alieufunga moyo wangu na kivipi aufunge gentleman 🤣
naona unazungumzia watu tu 🤣
siku mkianza kusambaratishwa na kuteketezwa ndio mtaaelewa tofauti ya kuzungumzia issues au kuzungumza kuhusu watu 🐒
by the way upinzani kwa ujumla wake uchaguzi mkuu ujao hawawezi kuzidi 5% ya kura zote 🤣
Unasema wapiga kura kuanzia miaka 18 ni nani eti? 🐒Umeanza siasa lini?
Mbona unascreen shot picha za zamani?Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.