nyie si mnafukuza tbc sasa mlitaka wawabembeleze kuwatangaza?Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.
Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.
Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.
Uchaguzi huu sio wa haki...ndio maana akipewa tuu awamu ingine atabadilisha katiba huyu mtu na kuijiongezea muda mwingine na kuwa kuua kabisa vya upinzani....ataviua kabisa vyama vya mpinzani...mfano mzuri ni jinsi alivyomshughulikia fatma Karume...mungu upitushe huyu asirudi tena...Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.
Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.
Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.
Wewe kama alivyo m/kiti wako kutaja jina la Lissu haiwezekani kama ilivyo kwa shetani kutaja Jina la Yesu. Kila siku Mbowe, mbowe, mbowe,...una shida gani na Mbowe?Chadema ela za michango Mbowe anapiga tu. Hawana ata shilingi moja kudadeki
Huo ndio ukweli wenyeweLissu hana bango, haoneshwi kwenye runinga wala kutangazwa redioni lakini watanzania wamemwelewa kuliko maelezo. Nyomi analofunga kwenye mikutano yake ni zaidi ya Martin Luther King miaka ile kule USA.
Ile kwao tu, chama uchwara Sana hiki.Waandishi wa TV wakija kwenye mikutano yenu mnawatimua, mnalialia nini tena? Muacheni Magufuli apate airtime ya kutosha maana hao wengine wazee wa ubwaubwa na vipapatio vya kuku pamoja na yule alojaribu kupenyeza pesa haramu toka nje ya nchi walishaingia mitini