kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 513
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.
Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.
Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.