Uchaguzi 2020 Runinga zote kila siku mubashara ni mikutano ya CCM tu

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
513
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.

Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.

Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.
 
Lissu hana bango, haoneshwi kwenye runinga wala kutangazwa redioni lakini watanzania wamemwelewa kuliko maelezo. Nyomi analofunga kwenye mikutano yake ni zaidi ya Martin Luther King miaka ile kule USA.
 
Uzuri ni kuwa JPM yuko mubashara kila siku mpaka watu wameshamchoka! Utakuta wanaangalia tathmilia au vipindi vya muziki na kama mpira upo basi ni huko huko!
 
Hii inaweza ikawa ni ushahidi tosha kuwa mtawala wa sasa ni mbaguzi na mbinafsi.

Au ni dhahiri kuwa hili zengwe limetokana na uhodari na uwezo mkubwa walionao wagombea wa upinzani ndio sababu kunakuwa na jitihada kama hizi za watawala kuwazuia wananchi wasing'amue kilicho bora toka upinzani.

Wasichokijua ni kuwa Binadamu akizuiliwa asikione kitu fulani, huwa anatafuta mbinu mbadala ya kukichungulia. Na akibaini ukweli kinachofuata ni kuumbuka kwa aliyetuficha tusiujue ukweli.
 
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.

Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.

Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.
nyie si mnafukuza tbc sasa mlitaka wawabembeleze kuwatangaza?
 
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini baada ya hapo, matangazo mubashara yamebakia CCM tu TV zote.

Imekua ni CCM na Polepole wao kujibu tuhuma na waandishi wa habari. Hata kutoa tathimini ya uchaguzi.

Hii monopoly itakua kuwasumbua kubwa baadae hata kwa wao wakitoka madarakani. Subirini ni suala la muda tu.
Uchaguzi huu sio wa haki...ndio maana akipewa tuu awamu ingine atabadilisha katiba huyu mtu na kuijiongezea muda mwingine na kuwa kuua kabisa vya upinzani....ataviua kabisa vyama vya mpinzani...mfano mzuri ni jinsi alivyomshughulikia fatma Karume...mungu upitushe huyu asirudi tena...
 
Chadema ela za michango Mbowe anapiga tu. Hawana ata shilingi moja kudadeki
Wewe kama alivyo m/kiti wako kutaja jina la Lissu haiwezekani kama ilivyo kwa shetani kutaja Jina la Yesu. Kila siku Mbowe, mbowe, mbowe,...una shida gani na Mbowe?
 
WAHENGA WALISEMA: Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.....

Kumbuka hapo wamejiuza miaka 5 peke yao lkn bado hawajaridhika kwa sababu wanajua wamekosa kibali cha watz
 
Sisi em Ina
1) hela ,
2)Ina mamlaka,
3)Ina nguvu/jeshi.
Hapo imetumia hela tu mnalalamika. Ngojeni baada ya tar28 watatumia 2&3
 
Lissu hana bango, haoneshwi kwenye runinga wala kutangazwa redioni lakini watanzania wamemwelewa kuliko maelezo. Nyomi analofunga kwenye mikutano yake ni zaidi ya Martin Luther King miaka ile kule USA.
Huo ndio ukweli wenyewe
 
Waandishi wa TV wakija kwenye mikutano yenu mnawatimua, mnalialia nini tena? Muacheni Magufuli apate airtime ya kutosha maana hao wengine wazee wa ubwaubwa na vipapatio vya kuku pamoja na yule alojaribu kupenyeza pesa haramu toka nje ya nchi walishaingia mitini
 
Ile kwao tu, chama uchwara Sana hiki.
 
Back
Top Bottom