Rupia: Hazina ya Mjerumani

Kama unaonaga magari ya wazungu kutokea south Africa yanapita mara kwa mara mby kwenda dar so wakichukua wanapeleka dar pale wanaiacha mizigo yao ubalozini kwao so huondoka nchini kama diplomatic parcel so huwa haikaguliwi

We mtu unayajuaje yote haya?upo kwenye muchakato nini?
 
Hapa ni igawa mbeya hizo picha ni sehem waliyotoa wajerumani mwaka huu mwezi wa 8 had wa 9 ukitaka nitafute nikupeleke
Mkuu MAKOSHNELI yan huwezi amini,leo ndo mara yangu ya kwanza kusoma huu uzi na nimeumalza muda huu saa9:20 usiku.Ktk uzi mzima wewe ndo starling wangu mkuu...yan ilikuwa kila nifungua page naomba nikutane na post yako..nimejifunza mengi sn kuptia kwak😵mbi langu naomba endelea kumwagika zaidi mkuu, unaonekana unajua mengi mazito huu uzi nimeusave kwa ajili yako mkuu...shusha
madini mkuu tupunguze ujinga.
 

Hii ni kweli ina value, nakumbuka nilipo kuwa mdogo miaka ya 1990 nilikuwa nawasikia wazee wakiongea kuhusu hizi pesa,wakati huo nilikuwa naona pesa za kizamani rupee katika droo kwenye kabati nyumbani, Nilikuwa sijui chochote kuhusu hizi pesa nasikia maongezi tu.
Kama hali ndio hii, nikirudi nyumbani nitafuatilia kwa kina na kununua maeneo walio ishi wajurumani, maybe kuna good luck for me 😀😀
 

Attachments

  • 1451181405425.jpg
    40.2 KB · Views: 432
  • 1451181415452.jpg
    101.1 KB · Views: 454
  • 1451181425898.jpg
    101.2 KB · Views: 557
Alafu dizaini waliyajenga kolocal sana.sasa serikali inaruhusije hao wajerumani kuna na vijiko na kujichotea tu??y serikali isiyachukue maeneo yote yenye izo hazina ikawa mali yake??
Troojan katika vitu ambavyo wajerumani walivifanya viwe complicated ni kwenye kuficha hizi mali zao,ukiona hizo sites zao unaweza ukadhani zipo simple sana kuchukua but kuna mitego mingi sana imewekwa na watu wengi sana wamepoteza maisha katika kuchukua hizo mali zao never estimate sehem walizoficha huwaga zinakuwa na only one way in/out ukipitia sehem nyingine kuna mitego kama sumu,mabomu,maji, carbonmonoxide na kamati za ufundi na wao ndio wanajua njia salama za kupitia ndiomaana wanachukua kirahisi
 
Mashimo ya mfalme Sulemani!!!
 
Sasa unshauri niji mdugubyangu kuhusu haya makitu.hebu tupe busara za kiutu uzima maana mimi kiukweli ni gemstone dealer based on tanga.nmekutana na hizi story nyingi sna nikiwa site.muheza uko,hare,lushoto na sehemubkadhaa.na nshawahi kutana na matreasure hunter s wengi.sema tunashindwag kuelewan .hebu shauri kitu kuhusu izi kitu.
 
Chief naweza kukushauri kwa experience yangu ya miaka zaidi ya 10 kuhusu hizi mali za wajerumani kama unataka kutoa
1.ukitaka kutoa shirikiana na wajerumani wenyewe japo watakupa % ndogo sana
2.tumia nguvu za mungu plus watu wazoefu kweli kweli ambao wanaweza kusoma alama na mitego ya wajerumani bila ya kupata madhara
Kwa uzoefu wangu sijawahi ona au sikia mtu aliyeweza kutoa mali hizi za wajerumani kwa uganga au uchawi wengi wanaishia kudhurika,kupata vilema vya maisha ama na kufariki kabisa,kitu cha muhim ujue ni kwamba wajerumani hizi mali hawakuziacha hv hv walizindika na kuweka mitego mingi sana mfano sumu za powder walikuwa wanachanganya na udongo so ukiwa unachimba shimo kwenda kwenye mzigo bila ya kujua unakuwa unavuta hiyo sumu taratibu mwisho wa siku unafia shimoni humo humo hii imeua watu wengi sana,mitego mingine ni carbon monoxide na kemikali zingine zenye uwezo wa kudhuru mwili kwa haraka ndiomaana ukienda sehem ambazo wajerumani wametoa mzigo huwa wanatumia excavator ili ku avoid contact na hizi sumu hata kama ni umbali wa mita 5 tu kwenda chini watafukua eneo kubwa sana zaidi ya sq mita 25 ilimradi ku expose udongo mwingi sehemu ya wazi angalia picha hizi chini ni baadhi ya maeneo waliyotoa mizigo mwaka jana mby
 
Kuna ma treasure maeneo ya Zanzibar baharini, kama wapo ma pirate waje ship zao, hizi treasure kama huna jini huzipati
 
Definitely true..mi nashangaa mpaka leo watu wanatapeliwa because of this staff..sijui watu bado hawajaamka ama ni ubunyufu
 
Kuna jamaaa alipata pasi akapewa na mzee momoja kutoka kigoma wakakubaliana akaenda uza dar wamefika morogoro pasi ikapotea mikononi mwake
 
Ni kweli huyo mzungu yupo hapo kama unaenda mbinga na kuna sehemi inaitwa maguu mbinga uko uko kuna kanisa kubwa sana lipo porini na kuna alama kwenye mawe mpaka za misalaba na nilijaribu kupepeleza kwa wwnyeji sikupata majibu muafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…