Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Kama MTU amefanikiwa kutoka maji "mercury* gramu 500 kwenye hayo mapango.

Je anaweza kupeleka ubaloz wa ujeruman kuuza?

Kwa wajuz, hiyo gramu 500 ya mercury inaweza kuuzwa kwa shilingi ngap za kitanzania????

Cc: MAKOSHNELI, kichunguu The Fixer

Gramu 1 ya original red mercury ambayo imehifadhiwa vyema ni zaidi ya Bil 12. Hata kama imepungua nguvu kwa maana ya mionzi yake bado inauzika na utapata bei safi tu. Pm me kwa details
 
Last edited by a moderator:
Gramu 1 ya original red mercury ambayo imehifadhiwa vyema ni zaidi ya Bil 12. Hata kama imepungua nguvu kwa maana ya mionzi yake bado inauzika na utapata bei safi tu. Pm me kwa details

Kaka, hicho kipimo unachosema una uhakika nacho?, gramu moja billion 12
 
Gramu 1 ya original red mercury ambayo imehifadhiwa vyema ni zaidi ya Bil 12. Hata kama imepungua nguvu kwa maana ya mionzi yake bado inauzika na utapata bei safi tu. Pm me kwa details

Asante kwa kunijibu

Kabla sijaja pm Naomba unijibu * je ubalozi wa ujerumani huwa wananunua hizi hazina kama mercury???*
 
Asante kwa kunijibu

Kabla sijaja pm Naomba unijibu * je ubalozi wa ujerumani huwa wananunua hizi hazina kama mercury???*

Una hamu ya kutapeliwa? Huyo anayekwambia gram moja bilioni 12 hata hajawahi kuiona. Hizo ni stori tu za siku nyingi, za ama kujifurahisha au utapeli.
 
Maeneo mengi yapo kwenye kambi za wazee wa kazi. Kuna mjerumani alikuja kufuatilia mali za babu zake ramani ikamuingiza kambini. Ndo ulawa mwisho wa safari baada ya jitihada zote kugonga mwamba
 
Hii kitu naanza kupata shaka kua ni kama ya KUSADIKIKA.
Maisha ya kusadikika ni Maisha yanayotawaliwa na vitu kuonekana kama vimethibiti kwa historia na kutawaliwa na neno 'nimesikia nimesikia' ukimpata aliyeona naye huongeza kusadikika zaidi badala ya kurahisisha habari.
Kwa maoni yangu binafsi,inawezekana kweli kulihifadhiwa vitu ila si kwa dhana ya thamani hii inayosadikika labda hii thamani ilijiri kipindi hicho wkt vinafichwa (that why vikawa hidden kiasi hicho tajwa) ...ila kuniambia vilifichwa kua na thamani endelevu tuuu mmmh doubt hapo..suala hili mzazi wangu wa kiume lilimpiga pesa mno mwisho wa siku wakajaishia ktk mapango wakizungumza na speaker za matapeli....kwa hiyo mnaoamini kujiri kwa hili vyema mkawa makini limekua la kitapeli zaidi.
Mwisho kabisa dhana hii ya mali za kijerumani nalinganisha na Maisha haya ya Kusadikika;
*Nyangumi na ukubwa wa kisiwa unaweza kupika ila usikate limao/ndimu
*Simba karatasi wa Mtwara,dakika mjini dakika newala
*Mume kugeuka chatu kisa mapenzi Buguruni(alipooga maji yenye dawa za mapenzi)
*Dada kugeuka Manyoya Salender Bridge
Hii ni Mifano michache ya Maisha Kusadikika hupati atakayekuambia kaona kila mtu atakuambia Kasikia Kasikia kama si kuhadithiwa....ila inreturn kila tukio hapo lina chanzo chake ambacho si uhalisia wa habari hiyo inayosambaa.
Mfano,hilo la mume kugeuka chanzo ni Wimbo ktk ngoma ya Mdundiko......thus hata hayo mengine yawezekana Hadithi za Bibi na Babu zetu.
Tafakari Chukua Hatua!!!
 
mkuu kama nilivyoandika hapo juu wajerumani nadhan kwa uzoefu na elimu yangu naona ndio watu waliopata kuelimika zaidi hasa karne ya 17,18 na 19 coz mambo waliyoyafanya miaka hyo ya zamani with respect na technology+miundombinu ya wakati huo ni makubwa mno kwanzia ujenzi wa madaraja,nyumba,reli,meli,submarine,migodi nk we just imagine mali zao walizificha kabla ya vita ya kwanza ya dunia but hadi leo pamoja na kuendelea kwa teknolojia bado huwezi ukatoa! So simple and clear sehem walizoficha mali zao walifanya mazindiko tena makubwa sasa miongoni mwa hayo mazindiko nikama nyuki au nyoka wa miaka yote yaani unakuta hiyo sehemu kuna nyuki au nyoka hafi wali haami hilo eneo,vi2 vingine nikama majini hasa chunusi sehem zenye maji kama mito na maziwa kama wewe ni mwenyeji wa mby nenda mabatini ile njia ya kuelekea itende jeshini unapokaribia kuingia eneo la jeshi kuna kota ya kwanza mkono wa kulia ipo pembezoni mwa mto ukiipita hiyo kota umbali kama wa mita 20 mtoni kuna shimo hapo na tayari zaid ya watu 4 walishawahi potelea hapo 1 akiwa ni mwanajeshi,jeshi walishaweka tangazo hapo kuwa ni marufuku mtu kufanya shughuli zozote eneo hilo ni hatari,eneo hilo kwa wakazi wa muda mrefu wa mabatini ukiwauliza "yorodani" ndio wapi watakusimulia vi2ko vya hapo coz zamani walikuwa wanakwenda hapo kufua na kubatiza waumini wao kabla hapajapigwa marufuku,mkuu yapo maeneo mengi sana hasa mkoa wa mby na wilaya zake zote na trick nyingine wajerumani waliyokuwa wanatumia hasa katika mashimo waliyofukia mali zao ni kuweka chupa zenye mecury so ukienda lazma utumie tochi kumulika sababu ya giza so on the way kumulika endapo utamulika ile chupa yenye mercury bulbu ya tochi inapasuka kutokana na reflection ya mercury

hapa inanifanya kusadiki kitu mji wa mbeya kuna wajerumani wengisana kuna msimu wanajaa msimu wanapungua wengi wao wanaletwa kufundisha shule za mission pia hospital za mission wapo kwenye migodi na mambo yakale hawakosekani dada zetu wengi wameolewana kupelekwa ujerumani pia baadhi ya washkaj mademu wakijerumani wamejisevia nakwenda nao kwao nilikua najiuliza why Germans in mbeya sasa nimeelewa mademu weusi kibao wamependwa na kuolewa na mijerumani
 
Sina Hakika Juu ya Hilo Ila Nishawahi sikia Stori kadhaa kuhusu Rupia za Mjerumani Kuwa zimefichwa maeneo fulani hapa Tanzania Na hao wajerumani waliweka mazindiko makubwa sana kiasi kwamba mtu wa kawaida huwezi chukua, nasikia Nyerere alilijua hilo na ili kuzilinda( hii tuiite bora tukose wote) mahali ambako palikuwa na hazina kubwa alijenga majengo muhimu kama Vituo vya polisi, Ofisi za serikali, kambi za jeshi, na hata Magereza ili kuzilinda kwani sio rahisi mtu kuingia maeneo kama hayo kirahisi.
 
hapa inanifanya kusadiki kitu mji wa mbeya kuna wajerumani wengisana kuna msimu wanajaa msimu wanapungua wengi wao wanaletwa kufundisha shule za mission pia hospital za mission wapo kwenye migodi na mambo yakale hawakosekani dada zetu wengi wameolewana kupelekwa ujerumani pia baadhi ya washkaj mademu wakijerumani wamejisevia nakwenda nao kwao nilikua najiuliza why Germans in mbeya sasa nimeelewa mademu weusi kibao wamependwa na kuolewa na mijerumani
Hapa ni igawa mbeya hizo picha ni sehem waliyotoa wajerumani mwaka huu mwezi wa 8 had wa 9 ukitaka nitafute nikupeleke
 
Attachments

  • 1450816321167.jpg
    1450816321167.jpg
    110.5 KB · Views: 503
  • 1450816339089.jpg
    1450816339089.jpg
    94.9 KB · Views: 494
  • 1450816385912.jpg
    1450816385912.jpg
    77.4 KB · Views: 402
  • 1450816436119.jpg
    1450816436119.jpg
    71.9 KB · Views: 423
Hapa ni igawa mbeya hizo picha ni sehem waliyotoa wajerumani mwaka huu mwezi wa 8 had wa 9 ukitaka nitafute nikupeleke

Alafu dizaini waliyajenga kolocal sana.sasa serikali inaruhusije hao wajerumani kuna na vijiko na kujichotea tu??y serikali isiyachukue maeneo yote yenye izo hazina ikawa mali yake??
 
Alafu dizaini waliyajenga kolocal sana.sasa serikali inaruhusije hao wajerumani kuna na vijiko na kujichotea tu??y serikali isiyachukue maeneo yote yenye izo hazina ikawa mali yake??

Hawaamini Uchawi wanasemaga.Rupio mchezo ka hawatakimbia Mjomba Maguf na sirikali yao hiyo.
 
Back
Top Bottom