Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

N ukwel kabsa kwa mfano iringaa zpo maeneo meng lugalo maeneo ya ilole kna mlima unaitwa ipomo kuna mali kwenye masanduku ya chuma ila eneo hilo lina nyoka yaa ajabu lkn kuna maeneo yaa isiman milima ya nyangoro kna mzgo na kuna watu kweli walijaribu ila walishndwa kna eneo unapoelekea dabaga kna miaka wazungu walimzka mzungu wanakjj walishuhudia kumbe jeneza lilikuwa na makenikia pure lakn nakumbuka luten mmoja wa jwtz mwenyew aliwah kuongoza tm ya wanajesh had eneo linaitwa udekwa ktk misitu fulan ndan ya bonde kubwa walikuta dhahabu za hatar lkn walipobeba walipotea njia ya kutokea wakawa wanazunguka bonden had walipoziacha wakaziona njia. KUNA KIPINDI MM BNAFS NLIFATILIA NKAMUULIZA MTAALAM FULAN (sio mganga) alisema n lazma kije kizaz cha KAISAR peke kwan kuna baadh ya wazungu nao walishndwa. MFANO MWNGNE MWAKA 2012-14 WAKAT BARABARA YA KUPANDA IRINGA MJN INAPANULIWA NA KAMPUN YA INTERBETTON WANAVO DRILL MLIMA WALIKUTA CHUMA KIZUR CHENYE CEMENT KIKIWA NA VTU AMBAVOOO SERIKAL ILIFKA NA KUAMURU AFUKIE HARAKA HAKUNA AJUAYE KULIKUWA NA NN ILA WATU WALISEMA KULIKUWA NA MALI ZA WAJERUMAN .kama kuna mtu anahis anaweza kuchukua mali hizi npo tayar kukupa map ya maeneo mbalimbali tz. Chek me mgos 0759 322 702
 
Kizazi cha kaisar ( ndio kipi hiko?)
 
Kuna family line ya ukoo wa Caesar ww unazan kizaz chake kilipotea na ndo hao hurud kuchukua kiulain mfano iringa twn kuna kanisan lilikuwa na mnalaa mrefuu sn walikuja miaka flan wazungu wakabomoa na kujenga new kuna watu wanadai chn kulikuwa na shmo kubwa sn kama underground cavern na walisepa na mabox ya chuma ya kutosha
 
Nilioana documentary moja hawa jamaa walivyohamisha masanduku ya chuma kurudi kwao lakini time wasn't on their hands ilibidi nyingine wazifukie

Kama technology ingekuwa kama ili to leonamandege makubwa wangebeba kila kitu.
 
kwa hisani ya chakarikamkopo. ( huyu bwana mara ya mwisho kuonekana hapa JF ni tarehe 23 July 2013)

Binafsi nimeshiriki sana kwenye hiyo biashara......kuna ukweli fulani lakini sehemu kubwa ni utapeli kwasababu ya ujinga na kukosa elimu kwa watu wengi. Watu wengi wanangaika kutafuta hivyo vitu lakini ultimately hakuna mtu anayemtaja mnunuzi wa uhakika...wanunuzi wote ni wa kufikirika.
Uzoefu wangu: NI kweli kuna hazina nyingi sana ambayo Wajerumani waliaacha Tz....wakati ule Msuya akiwa Waziri Mkuu katika ziara yake moja Ujereumani aliomba apewe ramani za sehemu ambazo wajerumani waliacha hazina ili zifukuliwe na zigawanywe. Jibu alilopewa ni kuwa hazina nyingi zilikuwa za watu binafsi wanaweza kushirikiana kwenye hazina za nchi ambazo nyingi zina vitu vya serikali....silaha, nk.

Hazina ya serikali pale Mbeya Tukuyu ipo jengo la mkuu wa wilaya...hata kwa macho ukiangalia ile ofisi imejengwa juu ya mlima wa kutengenezwa kule chini ni shimo kubwa sana. Mlango wa kuingilia upo ofisi ya afisa utamaduni wa wilaya. hata ukitembea kwenye ofisi utaona kuna hali ya kuonyesha chini kuna mtikisiko wa uwazi. Mlango mwingine nadhani uko nyumba aliyokuwa akiishi OCD. Miaka kumi iliyopita shirika la moja la Ujerumani waliomba kukarabati boma la mkuu wa wilaya na waliomba ukarabati uanzie ofisi ya utamaduni. Watu wakamshtua aliyekuwa RAS wa mkoa Mbeya (name withheld) akazuia ukarabati huo

Kule kijiji kwa akina Kapteni Komba kuna wageni wajerumani walichimba mashimbo kanisani na kwenye baadhi ya majengo ya kanisa hayo mashimo yalikuwepo hadi mwaka 2006 nilipopita hapo

Kuna kijiji kimoja cha akina Joyce Mhaville (wa ITV) nimekisahau kule Njombe baada ya Isoliwaya kabla hujafika Mfriga kuna binti wa kizungu alikuja kama kama volunteer akakaa baada ya miezi kadhaa akawaita wanakijiji wamsaidie kuchimba shimo fulani akawaambia mkifika sehemu ngumu muache ili nililete vifaa vingine usiku huo akaenda peke yake akachukua cha kuchukua asubuhi wakakuta shimo tupu na binti akatoweka hadi kesho.....sehemu inaitwa Lupembe

Kuna sehemu Mbeya inaitwa Ileya....pale kuna mzungu alikuwa tajiri sana yeye pia alificha mali zake jirani kabis na kanisa la Moravian hata alama za mawe alizoweka kuelekeza alipoficha mali zipo sema vile ni muda mfupi alama hizo zinapotea unapoingia kwenye vichaka. Baada ya kanisa la RC chini ya ''mtafutaji'' mashuhuri retired Afisa Usalama (name withheld) kushtukia hiyo dili waliamua kununua eneo lote hilo ili baadaye waanze kutafuta hizo mali wenyewe.

Kifupi ni kuwa Nyerere aliamua kujenga magereza, JKT, Shule sehemu zote ambazo alihisi kuna hazina ya madini au wajerumani waliaacha mali zao

The story goes on and on.................................
 
Kuna family line ya ukoo wa Caesar ww unazan kizaz chake kilipotea na ndo hao hurud kuchukua kiulain mfano iringa twn kuna kanisan lilikuwa na mnalaa mrefuu sn walikuja miaka flan wazungu wakabomoa na kujenga new kuna watu wanadai chn kulikuwa na shmo kubwa sn kama underground cavern na walisepa na mabox ya chuma ya kutosha
kama ni huo ukoo tuutafute tupeleke madada zetu wakaolewe tupige dili kwa kutumia akili tu nguvu zimeshindwa!
 
kwa hisani ya chakarikamkopo. ( huyu bwana mara ya mwisho kuonekana hapa JF ni tarehe 23 July 2013)

Binafsi nimeshiriki sana kwenye hiyo biashara......kuna ukweli fulani lakini sehemu kubwa ni utapeli kwasababu ya ujinga na kukosa elimu kwa watu wengi. Watu wengi wanangaika kutafuta hivyo vitu lakini ultimately hakuna mtu anayemtaja mnunuzi wa uhakika...wanunuzi wote ni wa kufikirika.
Uzoefu wangu: NI kweli kuna hazina nyingi sana ambayo Wajerumani waliaacha Tz....wakati ule Msuya akiwa Waziri Mkuu katika ziara yake moja Ujereumani aliomba apewe ramani za sehemu ambazo wajerumani waliacha hazina ili zifukuliwe na zigawanywe. Jibu alilopewa ni kuwa hazina nyingi zilikuwa za watu binafsi wanaweza kushirikiana kwenye hazina za nchi ambazo nyingi zina vitu vya serikali....silaha, nk.

Hazina ya serikali pale Mbeya Tukuyu ipo jengo la mkuu wa wilaya...hata kwa macho ukiangalia ile ofisi imejengwa juu ya mlima wa kutengenezwa kule chini ni shimo kubwa sana. Mlango wa kuingilia upo ofisi ya afisa utamaduni wa wilaya. hata ukitembea kwenye ofisi utaona kuna hali ya kuonyesha chini kuna mtikisiko wa uwazi. Mlango mwingine nadhani uko nyumba aliyokuwa akiishi OCD. Miaka kumi iliyopita shirika la moja la Ujerumani waliomba kukarabati boma la mkuu wa wilaya na waliomba ukarabati uanzie ofisi ya utamaduni. Watu wakamshtua aliyekuwa RAS wa mkoa Mbeya (name withheld) akazuia ukarabati huo

Kule kijiji kwa akina Kapteni Komba kuna wageni wajerumani walichimba mashimbo kanisani na kwenye baadhi ya majengo ya kanisa hayo mashimo yalikuwepo hadi mwaka 2006 nilipopita hapo

Kuna kijiji kimoja cha akina Joyce Mhaville (wa ITV) nimekisahau kule Njombe baada ya Isoliwaya kabla hujafika Mfriga kuna binti wa kizungu alikuja kama kama volunteer akakaa baada ya miezi kadhaa akawaita wanakijiji wamsaidie kuchimba shimo fulani akawaambia mkifika sehemu ngumu muache ili nililete vifaa vingine usiku huo akaenda peke yake akachukua cha kuchukua asubuhi wakakuta shimo tupu na binti akatoweka hadi kesho.....sehemu inaitwa Lupembe

Kuna sehemu Mbeya inaitwa Ileya....pale kuna mzungu alikuwa tajiri sana yeye pia alificha mali zake jirani kabis na kanisa la Moravian hata alama za mawe alizoweka kuelekeza alipoficha mali zipo sema vile ni muda mfupi alama hizo zinapotea unapoingia kwenye vichaka. Baada ya kanisa la RC chini ya ''mtafutaji'' mashuhuri retired Afisa Usalama (name withheld) kushtukia hiyo dili waliamua kununua eneo lote hilo ili baadaye waanze kutafuta hizo mali wenyewe.

Kifupi ni kuwa Nyerere aliamua kujenga magereza, JKT, Shule sehemu zote ambazo alihisi kuna hazina ya madini au wajerumani waliaacha mali zao

The story goes on and on.................................
Duu wewe kwa maelezo haya unatakia watu mema kweli? Yaani mpaka milango unaijua na ushasema ni vitu vya kiserikali kama silaha nk kwa maelezo haya huoni kama unawafaidisha maadui wetu?
 
Back
Top Bottom