Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
njoo utupe mrejesho2012 up to 2020, sijaona comment ya mtu alie nufaika kwa rupea, wengi ni kuambiwa na flani tu, inawezekana kuipata ni sawa unatafuta utajili kwa njia ya uganga/ ushirikina
Wenye nazo wanasema hazina soko ingawa zinapatikana,
Nitarudi na ushuhuda wangu na mm maana huwa nasumbuliwa na watafuta rupea,vishoka, plus pasi za Germany
Mjeruman na Pound??? Au UK na Pound???Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.
Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kuliwahi kuwapo kwa Tabora Pound, baada ya kusoma hapa jambo la kwanza ungefanya kabla ya kujibu hivyo (kuonyesha kuwa hujui) ungefanya kazi ndogo tu ya kugoogle phrase "Tabora Pound." Kwenye list ya kwanza tu ungepata kitu kama hikiMjeruman na Pound??? Au UK na Pound???
ongezea nyamaKwa vile ulikuwa hujui kuwa kuliwahi kuwapo kwa Tabora Pound, baada ya kusoma hapa jambo la kwanza ungefanya kabla ya kujibu hivyo (kuonyesha kuwa hujui) ungefanya kazi ndogo tu ya kugoogle phrase "Tabora Pound." Kwenye list ya kwanza tu ungepata kitu kama hiki
The 1916 "Tabora Pound" - 15 Rupien Gold Coin from German East Africa
halafu ungeendelea na mambo mengine ya maana kuliko kuquestion ukweli wa post yangu hiyo. Post kama hizo huwa nazifanyia utafifiti wa kutosha kabla ya kuziweka hadharani.
Rupee yenyewe ndo hii?2012 up to 2020, sijaona comment ya mtu alie nufaika kwa rupea, wengi ni kuambiwa na flani tu, inawezekana kuipata ni sawa unatafuta utajili kwa njia ya uganga/ ushirikina
Wenye nazo wanasema hazina soko ingawa zinapatikana,
Nitarudi na ushuhuda wangu na mm maana huwa nasumbuliwa na watafuta rupea,vishoka, plus pasi za Germany
TakutaftaMi nnayo stove na najua sehemu hivi vyote vilivotajwa vilipo mtu akitaka anipm
Kaa mbali na hao wazee mkuuNADHARIA NA IMANI YA MASANDUKU YA WAJERUMANI
Siku moja nadhani ilikuwa ni April 2020, wazee wawili ambao nafahamiana nao hapa Dodoma mjini waliniambia kuna sehemu inasadikika yapo masanduku yenye mali za Wajerumani, hivyo nione kama nitaweza niambatane nao twende huko kwa mwenyeji wao kwanza atupe maelezo zaidi ikibidi atupeleke eneo yalipo.
Ni Wilaya ya Dodoma mjini maeneo ya Ihumwa sio mbali toka mjini nauli daladala Tsh. 700/=,
Nikaona ngoja niongozane nao kujua kipi kitajiri huko.
Tulifika nyumban kwa huyo mwenyeji wao ni mzee kiasi alitupokea na kuanza kutupa nadharia ya pale ambapo inasadikika kuna hayo masanduku, alisema kuna mlima ambao upo karibu na hapa kwa boda boda ni kama Tsh. 2000/= mkiwa tayari hata sasa niwapeleke.
kwenye huo mlima kuna jiwe refu ambalo juu ya kilele kuna alama inayoonekana ni kama mlango ambao umezibwa kwa cement yaani ni kama mfuniko.
Kufika pale kileleni ndio changamoto (kwa maana ya nyenzo za kupanda na kukufikisha kule juu) kwani kuna watu kama watatu alishawapeleka wakashindwa kupanda na kufikia eneo lile walijaribu kuunganisha ngazi lakini haikufika,
Anasema mlima huo kiasi una maajabu yake kwani kuna wakati mkiwa kule mtasikia mara watu wanapiga ngoma,
(Na maelezo mengine mengi sio rahisi kuandika hapa yote)
Baada ya maelezo hayo wale wazee wangu walisema tumepata picha halisi ilivyo hivyo ngoja turudi tukajipange tutakuja kufanya hiyo kazi.
Baada ya kurudi nyumbani sijaweza kuwa nao karibu kuzungumzia jambo hilo, kwani kwa maelezo ya yule mwenyeji hata hawa wazee nilioenda nao wanaoa sio kazi rahisi, Pia haina uhakika baada ya kufikia kilele kile na kufunua mfuniko kuna nini ndani yake.
Acha roho mbaya na bahat mbaya hv vitu havitaki ubinafsi na moja ya jambo tunalofeli ni hilo ukiwa na tamaa na ubinafsi basi kila kitu kimeharibikaDah! Nimewahi endesha baiskeli zaidi ya km 200 kufukuziA rupia na mecury. Yaani akili zinahama. Unafukuziaaaa mwisho wa siku Eti Inataka muwe Wahusika 20 wakati wewe ulihangaika peke YAKO. Sitaki tena kusikia haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.
Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Tapeli kaziniMi nnayo stove na najua sehemu hivi vyote vilivotajwa vilipo mtu akitaka anipm
Bado unayo hiyo fufumaki?Wazee wa Fufumaki mko wapi tena? Kuna watu wamesema wanalo soko nimeleta dili wameingia mitini. Wabongo bwana!
Nina marafiki wajerumani na baadhi walikuwa nazo wakizitunza kama souvenirs tu. Hizi hadithi za mtaani kuhusu hivyo vipimo sijui haionekani kwenye kioo niwasimulia huwa wanacheka sana. Sidhani kama zina ukweli wowote. Mjomba wangu alifilisika na kufa masikini kwa tafuta sarafu zenye hivyo vigezo!Wakuu hii biashara ipo lakini kuwa makini sana kwa sababu ina matapeli wengi kuliko wanunuzi au wauzaji wa ukweli.
Na kama unayo kuna vipimo naweza kukuelekeza upime.
Usijaribu kutoa pesa yako kununua au kumpa mtu anaesema anayo mali au soko(utaibiwa)
Ukiona mtu ana mali na vipimo vimekubali lakini mmiliki wa mali akaanza kuleta masharti ya kutaka pesa kwanza ndo muende sokoni tafadhari usimpe hata mia.
Katika 100% ya watu uliokutana nao kwenye biashara hii 98% ni matapeli na wapo vizuri utaibiwa kwa namna yoyote ile(kuwa makini sana usimuamini mtu)
Nina uhakika na kipimo cha maji hicho kingine cha kupotea sijui sina uhakika nachoNina marafiki wajerumani na baadhi walikuwa nazo wakizitunza kama souvenirs tu. Hizi hadithi za mtaani kuhusu hivyo vipimo sijui haionekani kwenye kioo niwasimulia huwa wanacheka sana. Sidhani kama zina ukweli wowote. Mjomba wangu alifilisika na kufa masikini kwa tafuta sarafu zenye hivyo vigezo!