Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Ina madini muhimu sna yanayotafutwa kwa udi na uvumba nchini ujerumani. Kuna kibabu kule lushoto anayo RUPIA lkn tatizo anahitaji kiac kdg amkabidhi mtu wake aje nae mjini kuiuza. kama una soko zuri wasiliana nami, ebutati@gmail.com
 
kuna mtu ameniambia nimtafutie hiyo hela ya Rupia yenye picha ya simba na akaniahidi hela nyingi endapo nitafanikiwa kuipata inafanya kazi gani hasa kwa mwenye kuelewa asisite kufunguka kuhusu Rupia ya kijerumani.

wanahiitaji waganga wa kienyeji kwa ajili ya kuwapa watu utajiri wakati wao wenyewe ni masikini
 
Kama anatoa hela nyingi sema mimi sioni shida kwenda ujerumani kama itanilipa
 
imgLoading_30x30.gif
7ba2_12.JPG
 
ishu sio madini bali inahusishwa na nguvu za ki-majini....wajeruman walikuwa watundu sana kwa mambo hayo....ukiwa na roho ya ujasiri unapata hela ila hatar yake ni kuwa majini hawatabiliki mambo yao....lazima uwajue sana kama umeamua kutoka kiivo
 
Nikweli hizo coins ni BZ tena yenye PESA mingi sana Ingawa czote! na Wateja wake ni WafanyaBiashara wakubwa kwaajili ya kuzipa NGUVU na MVUTO bidhaa zao! Wateja wengine ni hawa Jamaa wanomiliki hivi viJIWE wanavyoita maKANISA! hzo coins ni maJINI completly ukitaka kufanya hiyo BZ kwamaana yakwenda kuziska huko vijjn lazima uhudhulie sana kwa waGANGA bila hivyo hutafanikiwa mm nafahamu hao ndg wanaofanya hzo dili km unayo niPM nikuelekeze wanazotaka ukapige NOTI ingawa pia kuna utapeli mwingi kwenye hzo BZ
 
shimwe tafuta uzi humu, unaitwa Rupia ...hazina ya mjerumani usome wote it might help.
 
Last edited by a moderator:
Nimechelewa kuisoma hii mada ila sio mbaya kutokana na mda na siku yenyewe ilivyokaa leo ntaomba niwambie kifupi tu na mim nayojua kuhusu hii topic. Baada ya vita ya kwanza kuisha mjeruman alinyang'anywa makolon yake yote na baada ya kunyang'anywa wakat anaondoka kurud kwao muingereza aliwaambia hamna kuondoka na kitu zaid ya beg lako tu na alikuwa anawasachi wakat wakipanda mel au ndege kurud kwao, hii ndio ilopelekea wajeruman kuficha vitu vyao. Bas nije kwenye mada binafsi rupia nimeiona na maajabu yake ingawa sijaishika kakaangu alitumia miaka 3 kuchimba hiyo rupia ukerewe mwanza na baada ya kurud nyumban akil yake ilikuwa sio sawa na hii ilitufanya tujue ni kwel anayosema? Nilienda had ukerewe kwa rafik zake aliposema kuna hivyo vitu na wanatafta mteja. Walipata rupia nying ila wanazo nane ambazo zina nguvu ya ajabu. Hizo rupia mojawapo nimeiona kwenye picha hapo ya huyo mjeruman mwenye kofia yenye ndege. Hiyo rupia ni nyekundu kama shaba na pia ina sumaku na ina vuta coin nyingne na vitu chuma vidogo dogo na pia hiyo coin ukichukua blastic uweke maji na yenyewe ikae chin bas ukiweka coin yoyote juu yake haizam inaelea na bdae inatupwa nje ya kibakul. Na sio kila mtu anaweza kushika hiyo rupia huwa inapotea na kuna makabidhiano wakat inavyotoka kwa mtu kwenda kwa mwingne kuna kafara lazima zifanyike ndo uimilki. Ukiachana na rupia kuna pas kama ya mkaa ambayo ni nzito na hii inafanya kaz inaweekwa juan tu unanyooshea, taa ya chemry hii ipo kama iyo pas nayo, saa ya ukutan na pia walipata bunduki (rifle) na risas zake nying. Kwaiyo sio kitu ambacho ni imagination ila kweli kipo. Inasemekana kwel rupia imechanganywa na damu na mifupa ya watu ila sio zote ni hizo chache ambazo nimesema hapo juu. Watu wamekuwa wakitapelewa kwel sababu rupia ni hela ya kawaida ukiachana na hiyo maajabu. Kaka angu ameniambia walienda had kigoma kupewa dawa kwa waganga ili waweze kuingia kwenye ilo shimo. Na kwel baada ya kupata hivo vitu walisumbuka sana ni kama waliiba ile mizimu iliyoachwa pale iliendelea kuwasumbua had walipoenda tena kufanyiwa matambako kibao. Hivyo vitu wanavyo kabisa ila hadi sasa nakwambia hamna mteja ambaye wamepata na vitu wanavyo tu. Sasa ukija kiundan hivyo sio vitu vya kufuatilia hata kidogo vimezungukwa na nguvu ya giza ambayo sio nzur. Tutafute ela kwa njia halal na sio had kwa waganga au vitu vyenye nguvu ys giza sababu tunapita tu hapa dunian. Bro tulimkalisha chin tukamwelekeza ila hakuelewa na yupo bdo anaangaika na wenzake kutafuta wateja wengi mashart na bei wanayouza vimewashinda.
 
Hayo mambo unayoyasema ya mara kupotea mara ukiweka chini ukaweka bakuli ya maji juu coins zinaelea na kurushwa wewe ulionaje wakati unasema haujaigusa?!!! Au ulisimuliwa na huyo kaka yako aliyeruka akili? Haya mambo yana conspiracy nyingi sana ambazo ni ngumu kuconfirm, btw kuna mtu mmoja namfahamu na yeye kutwa kucha kutafuta hayo mapasi na mabirika, kama kweli ndugu zako wanavyo niwaelekeze kwa huyo mtu, kama atakagua nakuona ni vyenyewe wataelewana, lakini angalau wangekuwa wanapiga picha nikimwonesha picha anaweza kuwafuta hukohuko.
Sema sasa, isijekuwa na wewe umeskiza stori tu!
 
Back
Top Bottom