Rupia: Hazina ya Mjerumani

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Money+Mashetani=Rupia
Power+Mashetani=Rupia

Rupia Zipo but zilihifadhiwa kishetani na zinatafutwa kishetani na kazi kubwa ya kishetani
ipo 1/2 rupia na 1 rupia
hiyo 1/2 haina issue but 1 rupia ndio mzigo

even jama ipo mahali huchimbwa usiku, maana kafara hufanyika ili zichukuliwe,

ukikuta mtu anayo yenyewe afu eti anaiuza ujue michezo ya kitapeli
japo wapo wenye bahati huzipata pasipo ushetani wowote tena itakuwa ni moja.

but hufanya kazi nyingi sana za kishetani kutokana na nguvu iliyoko ndani yake.

all in all rupia ilihifadhiwa kishetani ili mtu yeyote asiione
so kama wewe kuipata hauna tofauti na mtu anaye tafuta mali kwa njia ya mganga vile

namfahamu mzee mmoja kwetu alitoa kafara ili wapate hizo rupia, then hakuzipata waziuze wanafanyia kazi zao za kishirikina tu.

mie naujua upande huo kidogo tu hapo
Yeyote atoaye kishetani/kishirikina basi hazifi nazo mbali na huingia kwenye kuyaabudu yale Madudu.....lakini mwenye elimu sahihi hatumii ushetani bali Codes kama kitu kinafungwa basi kinajinsi ya kufungua Issue ni Formula tu.
 
Hizi mambo zipo sababu kwa upande wangu nimebahatika kuzijua kwa msaada fulani ila sio mfatiliaji sana huwa siwekei maanani sana, kuna kikundi cha watu walikua wanatafuta sana hizi mali nilikutana nao lakini kwa muongozo niliona wana tatizo kidogo lakini sikuamua kujali sana nakumbuka mwaka jana nilijaribu kuwapelekea kitu kati ya vitu wanavyohitaji asee sisahau ile siku ilikua kila nikibeba kitu sifiki mbali kinarudi nyumba niliyofikia zaidi ya mara nne nilipata maelezo kidogo ya kuwahoji matokeo yake wakawa hawaeleweki mwisho kitu chenyewe kikarudi mahala pa kwanza kilipotoka...kwa tukio lile hata wife alijua kuwa havikua vitu vya kawaida..sijaeleza kwa mfuatano mzuri kwasababu binafsi ila hizi vitu vipo ila kubahatika kuvijua ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mengi Nick kuna uwezekano aliyekuwa antoa Mali yake alikuwa akitaka kumkabidhi Mwingine Mkono kwa Mkono wakati agano lake halipo hivyo...iliufanikiwe kuondoka na kitu cha kijerumani iwe ni toka saiti au kwa mtu lazima akisema anakukabidhi akiweke ardhini na wewe unaye kabidhiwa ukipokee kwa kukichukuwa tokea ardhini baada ya Mhusika kuwa na Utayari wa kutoa chombo chake.tofauti na Hapo lazima Kirudi tu.
 
Shemeji yangu amewah kupata rupia akaenda huko alivo rudi kanunua haice na nyumba mbeya mjini na vitu vingi sana baada ya miaka 3 alifilisika na aliuza vyote. mwaka 2014 alikuja mzungu hapa Ludewa antafta pesa za zamani sio kila pesa ya zaman.
Huyo shem wako aliibatua hiyo rupia na ndiyo maana ilimfanyia hayo ya kufilisika.
 
Ukitaka kudata we anza kusaka mapango ya wajerumani kwa kutegemea kwamba huko chini wameficha mali nyingi ikiwemo vito vya thamani kubwa kama Almasi na Dhahabu - baada ya miaka 10 ya kuyasaka tayari utakuwa ushadata.

Ni sawa na muokota chupa za maji ya uhai mitaani, mwanzo unakuwa mzima ila kadri siku zinavyokwenda basi unaanza taratibu kudata hadi kufikia kubeba fuko kubwa ndani unajaza matakataka yoyote utakayokutana nayo mitaani na majalalani.
 
Kanisa la mbozi mission na hospital yake
3.Sehem nyingine ni lilipokuwa soko kuu la mbeya pale mbele ya benki ya NMB mbalizi road ambalo liliungua na linatarajiwa kujengwa soon,guess mkandarasi aliyeshinda tenda ya kujenga pale ni kutoka inchi gani? Makampuni makubwa ma5 yaliomba ,moja la israeli,jingine la austaria,jingine la ujerumani na mengine ya wachina! Wajeruman wameshinda tenda wataanza ujenzi any time baada ya bunge hili la bajeti i guess.
3.Sehem nyingine utashangaa pale wajerumani walipokwenda kujenga matenki makubwa ya mradi wa maji ambao wameudhamini wenyewe kwa karibu 90% na waliutoa maalumu kwa mkoa wa mbeya tu! Ambao hauna shida sana ya maji ukilinganisha na mikoa ya kati na kusini mwa tz! Mradi huo utamaliza tatizo la maji mby kwa miaka 20! Ijayo imean hadi 2032! PALE UYOLE WALIPOJENGA HAYO MATENKI YAO YA MAJI PALIKUWA NA MASANDUKU YAO!
MRADI HUU AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA JK KAUZINDUA WIKI HII HII KAMA SIKOSEI!
Awamu ya pili ya huu mradi ni kupeleka bomba la maji hadi tunduma umbali wa km 103! Ili wapitie na sehem zingine !
4. LAKE NGOSI TUKUYU MBY!
Zipo sehem kibao nikianza kuwatajia hapa sitazimaliza so tukirudi kwenye mada nikwamba kweli rupia ya mjerumani inamambo tatizo ni namna ya kuipata coz sehem zote ilizofichwa wajerumani walikuwa wanafanya makafara ya watu kuanzia 10 na kuendelea ambao hubaki hapo kama majini kulinda ila wao wanavyokuwa wanakuja kuchukua huwa kuna maneno flani huyatamka na hayo madudu hutambua mwenye mali kaja either mtoto au mjukuu wake! So huwa hayasumbua tofaut na mswahl ukienda pale na hii ki2 ikapelekea wengi kwenda kwa waganga ambako hupewa masharti ya kutafuta viungo vya binadamu hasa albino!
Nadhan mkuu umenielewa kama unamaswali zaidi ni pm namba yako ntakujuza zaid
source: mimi mwenyewe ninafanya kazi za uchimbaji madini hasa dhahabu nipo matundas chunya na pia ni graduate ktk fani ya mining enggrng UDSM
Bado una dili na dhahabu
 
SOMA HII:



The Balson Holdings Family Trust owns two type "B" 15 Rupien pieces - displayed below.This coin below was purchased by the Balson Holdings Family Trust from Heritage Coins in June 2005 (Item 13154) they noted: "lustrous AU and about as nice as we have seen one of these pieces". This piece is about as good as the "Tabora Pound", under siege conditions, gets. Value over US$4,000.





This coin below, almost UNC for the series, is owned by the Balson Holdings Family Trust. It reflects the deterioration of the dies over time - in particular on the side of the elephant - see rim bottom right area and the rim bordering the eagle at 6 and 9 o'clock. Value over US$3,000.


Sarafu hizo zilitengenezwa mnamo 1916 pale Tabora kwenye karakana ya reli ya Kijerumani. Maana wakati ule Dar es Salaam (makao makuu ya koloni) ilivamiwa tayari na Waingereza. Jeshi la Kijerumani (lililokuwa hasa jeshi la Waafrika chini ya maafisa Wajerumani) liliendelea kupigana na Waingereza (walioingia kutoka upande wa Kenya na Malawi) na Wabelgiji (walioingia kutoka Kongo); viongozi walihitaji pesa ya kulipa askari ambao walikuwa na wasiwasi kuhusu noti za karatasi. Kwa jumla idadi ya sarafu zilizitengenezwa ni elfu kadhaa. Usitegemee kwamba akiba kubwa zinapatikana bado. Maana zilihitajika kulipa askari Waafrika na Wajerumani lakini baada ya muda mfupi kazi ilikwisha kwa sababu Wabelgiji walivamia pia Tabora.
 
Zingatia kwamba sarafu za nusu rupia na rupia moja haina thamani kubwa sana, zinatafutwa na watu wanaokusanya pesa hizo kama burudani. Bei itategemea hali ya kila sarafu na pia mwaka unaoonyeshwa; kama ni safi sana labda Tsh lakhi mbili hadi tatu. Hizi za dhahabu ni chache zaidi, zilitolewa mwaka 1916 pekee,

Kuhusu rupia kwa jumla ona hapa wikipedia ya Kiswahili.
Rupia ni jina la pesa inayotumika leo huko India na katika nchi mbalimbali za Asia.

Ni pia jina la pesa iliyowahi kutumika Afrika ya Mashariki na nchi mbalimbali.
Rupia ilikuwa pesa ya nchi na maeneo yafuatayo:
 
Hapo historia ya "Pauni ya Tabora"
(Chanzo: Tanzanian Affairs » THE TABORA GOLD COIN)

In March 2007 a gold coin minted in German East Africa in 1916 was sold for £1,400 by the London auctioneers Dix Noonan Webb. Sometimes known as the ‘Tabora pound’, this coin has an interesting history.

At the beginning of 1916 the Governor of German East Africa, Dr Heinrich Schnee, was confident that the colony’s small army would continue to hold the Allied forces at bay. His immediate problem was the shortage of metallic currency caused by hoarding and the impossibility of getting fresh supplies of coins from Germany because of the Royal Navy’s blockade. That same blockade prevented the export of gold to Germany and the Governor decided to use Tanganyikan gold to mint coins locally.

An improvised mint was therefore established in the railway workshops at Tabora by a German mining engineer, Friedrich Schumacher. His total workforce was eleven men – two Indians, two Africans and seven Singhalese goldsmiths recruited from Dar es Salaam. A blacksmith’s forge was used to melt the gold, while a mill for rolling sheets of rubber was adapted to turn it into strips. A small hand press punched out ‘blanks’ from the metal strips and the coins were struck, one by one, by a hand-operated pipe-bending machine.

The pre-war coinage had a portrait of the German Emperor William II on the obverse (head) and the German eagle on the reverse (tail). Concerned that a locally produced version of the Imperial face might not be to the Kaiser’s liking, the Governor held a competition for an alternative. The winning design, by a German railway worker, showed a charging elephant against a mountainous background (possibly intended to represent Kilimanjaro). One of the Singhalese goldsmiths engraved the dies for both obverse and reverse. The eagle was retained for the obverse, which also had the date ‘1916’ and the mint mark T (for Tabora), while the reverse was inscribed ‘Deutsch Ost Afrika 15 Rupien’. Each coin weighed 7.168 grammes and was 75% pure gold.

The Governor’s proclamation authorising the new coinage was signed at Tabora on 15 April 1916 and production began on the same day. Using the primitive hand-operated machine, the small workforce produced 6,395 gold coins in the period to 30 June 1916. At this point the machine broke down and the task of striking the coins was transferred to Lulanguru, fifteen miles west of Tabora. A steam-driven press designed to extract oil from groundnuts was brought into use and the rate of production was almost doubled. In the nine weeks to 31 August 1916, when production ceased, 9,803 gold coins were minted.

During the four months the mint was operating, the military situation changed completely. The Allied offensive was finally launched. General Smuts captured Moshi at the beginning of April and reached Dodoma on 29 July, cutting the Tabora/Dar railway. Meanwhile the Belgian army advanced from the Congo and occupied Tabora on 19 September. As the Belgians approached, Schumacher buried the precious dies and delivered the last batch of 1,500 coins to the bank in Tabora. Schumacher was captured by the Belgians, but managed to conceal forty of the coins. He was sent to England for repatriation to Germany as a non-combatant. While in London, he was questioned by the police at New Scotland Yard, where thirty nine of the forty coins were taken from him.

The Tabora 15 rupee was only in circulation for a relatively short time. Many were hoarded or kept as souvenirs. As over sixteen thousand were produced, it is hardly a great numismatic rarity. However, it only appears rarely at auctions, hence the handsome price at the March sale. If you are lucky enough to own one, or are offered one to purchase, be warned – there are forgeries about!
The above is based on an article by D.D.Yonge which appeared in Tanganyika Notes and Records Number 62, March 1964 John Sankey
 
MAKOSHNELI mkuu mimi pia naishi hapa jijini mbeya uliyoyaeleza mengi nayajua so mfano bwana Lena, soko la uhindini pia kuna mti kwa babu yangu inasemekana kuna rupia maeneo hayo kikweli hata tukienda kesho ilo eneo wamejaa nyuki na hawajawahi kuhama.
Hakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.
 
Hakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.
Peleleza vizuri
 
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.

Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Aise bro nimekuelewa nilikuwa sijui chochote najivunia kuwa member was JF
 
Hakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.
Rungwe mission iliasisiwa na kina nani.Nani Aliyeleta Moravian Mbeya
 
Hawa jamaa walituletea dini na kujenga huduma za afya na elimu kumbe ilikuwa ni geresha tu tusijue wanachuma mali
 
Back
Top Bottom