Rusha roho ni Kero mitaani

Rusha roho ni Kero mitaani

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
853
Reaction score
440
Mimi ni mkazi we maeneo ya uswahilini, yaani huku kwetu ni kelele tupu usiku kuanzia ijumaa mpaka juma pili !! ni kelele za miziki maarufu kama rusha roho!!!

Kinachoshangaza huwa wanapiga hiyo miziki usiku kucha afu wanaizima asubuhi.........what sorts of a fallacy!!!!!????
:angry:
 
Mimi ni mkazi we maeneo ya uswahilini, yaani huku kwetu ni kelele tupu usiku kuanzia ijumaa mpaka juma pili !! ni kelele za miziki maarufu kama rusha roho!!!

Kinachoshangaza huwa wanapiga hiyo miziki usiku kucha afu mchana wanaizima.........what sort of a fallacy!!!!!????
:angry:

Jipange uhamie ufukweni tu
 
halafu wewe ndio huwa unatia nakshi kwa kuweka vibwagizo kwa sauti yako nzito

huwa nakasirika wenye sauti nzito maarufu kama washereheshaji.................yaani wakati taarabu inaendelea yeye nakuwa anasema maneno maneno mara amtaje Mama Filani.................aghghhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!
 
ufukweni napatamani ila hela ndo tatizo...........am so bored with such kind of life! Natamani rusha roho mtaani zipigwe marufuku!!!!!!
 
ukiona hivyo ujuwe weye si mwenzetu...wenyewe shwariiii shida gani!!!
 
Heri yako wanaanza IJUMAA; kwetu sisi kwakuwa wanaochezwa (WAALI) ni almost kila siku wakianza Jumatano au Alhamis ndiyo hadi alfajiri ya Jumatatu!!!!

Kila J3 nikienda job utadhani navuta ndumu; jicho nyanya kisa kukosa usingizi!!!!! Sijui sheria za serikali zetu za mitaa zinasemaje kuhusu kelele hizi za usiku kucha katika maeneo ya makazi ya watu!!!!!!
 
Mkuu sio uswahilini tu. pale mtaa wa kenya kinyama jamaa alifunga mtaa kwa maspika ya nguvu na watoto wanguvu waliletwa kucheza. mi huwa nakaa pembeni kwa nyuma naangalia wanavyokata mauno, hadi raha. halafu j2 pale masaki maeneo ya chole road kama unaenda barabara ya barrick karibu na ofisi za ccm kulikuwa na mziki wa kufa mtu kuuliza nini eti sijui wanapongezana. masebene dar yanapigwa kila sehemu. tofauti ni kwamba uswahili wanafunga mtaa, uzunguni wanafunga juu ya maghorofa. Mia
 
Jipange uhame mkuu, unaweza kufa kwa hasira.
 
Ndio maana viwanja vya uswazi bei ndogo lakini kiwanja cha ukubwa huo huo sehemu nyingine bei mara 100!
Lakini wasimamia sheria inabidi waingilie kati. At least kuwe na muda maalum sio usiku kucha
 
Mimi ni mkazi we maeneo ya uswahilini, yaani huku kwetu ni kelele tupu usiku kuanzia ijumaa mpaka juma pili !! ni kelele za miziki maarufu kama rusha roho!!!

Kinachoshangaza huwa wanapiga hiyo miziki usiku kucha afu mchana wanaizima.........what sort of a fallacy!!!!!????
:angry:


Jamani, did you ahve to live there? The style of life (Rusha roho) suits them very well and probably, you are the only one complaining. Do you know what Rusha roho entails? What it means? Why do they rusha roho?

my advice to you: Move to the people whom you share the same life style!
Waache na rusha roho zao, mchana wanapumzika!
 
Maraha, full kujiachia... some of the bongo characteristics! raha jipe mwenyewe bwana, shida ya nini maisha mafupi sana ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom