Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.