Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hapo kwenye kukaa kati ya wapigaji na kukataa upigaji ndiko kunam distinguish msomi.Tiba sidhani kama anahitaji tena kuwa na CV kubwa kuzidi hapo alipofikia! Serikali ya Mkwere ilikuwa ya wapigaji, sasa yeye ni nani hata akatae? Na nafikri kule kwenye ardhi alipiga sana kule Kigamboni mpaka Ndugulile akalia!
Ningemuona wa maana sana kama hata angekataa kufanya kazi katika serikali iliyojulikana kuwa ni ya wapigaji. Halafu akatuambia kakataa kufanya kazi kwenye serikali ya wapigaji.
Alipokubali upigaji na kujiingiza humo tu, ndipo na yeye akawa mpigaji tu na kuondoa integrity ya usomi wake.
Mpaka sasa anashindwa kuandika kitabu cha maisha yake, kwa kujua ana makandokando mengi, halafu ana tu gaslight kwamba Tanzania hakuna wasomaji.
Yani ushuzi kajamba yeye, lawama anatupa sisi.