Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Mbona naambiwa katika mkoa wa Kagera, wilaya ya muleba ndiyo tajiri yenye maendeleo makubwa sana: utadhani uko ulaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ya22_bdRUwA
Nenda kajionee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona naambiwa katika mkoa wa Kagera, wilaya ya muleba ndiyo tajiri yenye maendeleo makubwa sana: utadhani uko ulaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ya22_bdRUwA
Rushwa ni rushwa tu..hiyo rushwa ni kubwa kuliko ya Dp World?
NilimsikilizaWasomi wa Tanzania kama huyu Tibaijuka ni very overrated.
Nilimsikiliza last week kahojiwa na Clouds FM.
Wakamuuliza kuhusu kuandika vitabu, anasema aandike atasoma nani sasa?
Yani katika usomi wake wote, hajaweza kufikiri kuandika for posterity, anaona kuandika ni kwa ajili ya watu wa sasa tu.
Nikasema hawa ndio ma profesa wetu, wasomi!
Mungu wa wapi huyo aliyemweka nje ya siasa Prof Tibaijuka!? Si alistafu siasa mwenyewe Kwa kinywa chake alisema 2020 hagombei tena!!kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Baada ya kusoma upepo, alikuwa haivi chungu kimoja na MaguMungu wa wapi huyo aliyemweka nje ya siasa Prof Tibaijuka!? Si alistafu siasa mwenyewe Kwa kinywa chake alisema 2020 hagombei tena!!
Humu tupo wajuaji wengi mno...Umeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.
Prof. ameandika vitabu kadhaa mfano ni Building Prosperity na Strategies for Small Agricultural Development in West Lake Region.
Wasomi wa Tanzania kama huyu Tibaijuka ni very overrated.
Nilimsikiliza last week kahojiwa na Clouds FM.
Wakamuuliza kuhusu kuandika vitabu, anasema aandike atasoma nani sasa?
Yani katika usomi wake wote, hajaweza kufikiri kuandika for posterity, anaona kuandika ni kwa ajili ya watu wa sasa tu.
Nikasema hawa ndio ma profesa wetu, wasomi!
Akafundishe hukoUmeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.
Prof. ameandika vitabu kadhaa mfano ni Building Prosperity na Strategies for Small Agricultural Development in West Lake Region.
Nenda Kigamboni kajenga kijiji sijui ukwasi huu kautoa wapi...hiyo rushwa ni kubwa kuliko ya Dp World?
Hakukejeli kwamba akiandika nani atasoma?Sikiliza tena clip. Hukuelewa hoja yake. Information analysis and evaluation ni taaluma ya watu. Usivamie mambo haya.
Alichosema ni kwamba kama akiandika kitabu hicho kitakuwa na maudhui yaliyoshiba kiasi kwamba kitatikisa nchi.
That is irrelevant to my point.
My point ni kwamba kaulizwa aandike kuhusu maisha yake, akasema aandike atasoma nani?
Kwanza wa kusoma tupo. Mimi sasa hivi nasona kitabu cha Mwapachu kimechapishwa mwaka jana. Kwa hivyo watu wa kusoma tupo.
Halafu pili, msomi kama yeye anatakiwa kujua kuwa kuandika ni kuweka record for posterity, hata kama watu wa kusoma hawapo, miaka ijayo watasoma tu.
Tunatofautiana standards.
That answe was ignorant. Especially from a professor.
View: https://youtu.be/KgbOViJnBfA?si=bij_D5-ZIi60CSbB
Tiba sidhani kama anahitaji tena kuwa na CV kubwa kuzidi hapo alipofikia! Serikali ya Mkwere ilikuwa ya wapigaji, sasa yeye ni nani hata akatae? Na nafikri kule kwenye ardhi alipiga sana kule Kigamboni mpaka Ndugulile akalia!Uroho tu.
Huyu mama ni kati ya watu waliokula maisha, tangu anasoma, yuko mke wa balozi mpaka kufanya kazi UN. Huyu mama alikuwa Special Envoy wa UN hapo UN HABITAT.
Huyu mama maisha yake yalishakuwa fresh kitambo sana, ana pensheni ya umoja wa mataifa, tena ya top levels za kina Dr. Asha Rose Migiro na Dr. Augustine Mahiga wala hakuhitaji hivi virushwarushwa vya Bongo.
Kajichafulia mwenyewe CV kwa uroho tu.
Hiyo si hoja ya kisomi.Hoja yake mama hapo ilikuwa Watanzania wengi hawana utamaduni wa kusoma vitabu! Hata akiandika wasomaji hawapo!
Ana kibri..!Wasomi wa Tanzania kama huyu Tibaijuka ni very overrated.
Nilimsikiliza last week kahojiwa na Clouds FM.
Wakamuuliza kuhusu kuandika vitabu, anasema aandike atasoma nani sasa?
Yani katika usomi wake wote, hajaweza kufikiri kuandika for posterity, anaona kuandika ni kwa ajili ya watu wa sasa tu.
Nikasema hawa ndio ma profesa wetu, wasomi!
Tulimshangaa alipoingia siasa za kuchafuana za ki ccmBila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.