Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

Tiba sidhani kama anahitaji tena kuwa na CV kubwa kuzidi hapo alipofikia! Serikali ya Mkwere ilikuwa ya wapigaji, sasa yeye ni nani hata akatae? Na nafikri kule kwenye ardhi alipiga sana kule Kigamboni mpaka Ndugulile akalia!
Hapo kwenye kukaa kati ya wapigaji na kukataa upigaji ndiko kunam distinguish msomi.

Ningemuona wa maana sana kama hata angekataa kufanya kazi katika serikali iliyojulikana kuwa ni ya wapigaji. Halafu akatuambia kakataa kufanya kazi kwenye serikali ya wapigaji.

Alipokubali upigaji na kujiingiza humo tu, ndipo na yeye akawa mpigaji tu na kuondoa integrity ya usomi wake.

Mpaka sasa anashindwa kuandika kitabu cha maisha yake, kwa kujua ana makandokando mengi, halafu ana tu gaslight kwamba Tanzania hakuna wasomaji.

Yani ushuzi kajamba yeye, lawama anatupa sisi.
 
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.

ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.

Tunu kwa lipi? Ana ni mla rushwa kama wengine, hana utunu wowote, alichukua maeneo Kigamboni na Tegeta, alijawa na tamaa sana ya kuiba mali ya umma, hafai hata kidogo
 
Hakuna mtu anaweza kuandika kila kitu
Hakuna anayeandika kila kitu, hata Mkapa tunayemjua hakuiandika hata familia yake immediate. Kam skip kabisa Peter, wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia sana Peter kuwa ni mtoto wake mzuri sana.

Ila, Tibaijuka kakataa kuandika chochote kuhusu maisha yake.

Halafu anatu gaslight kwamba akiandika hakuna wa kusoma.

That is another level of arrogance.

Which is another way of saying, another level of ignorance.
 
That is irrelevant to my point.

My point ni kwamba kaulizwa aandike kuhusu maisha yake, akasema aandike atasoma nani?

Kwanza wa kusoma tupo. Mimi sasa hivi nasona kitabu cha Mwapachu kimechapishwa mwaka jana. Kwa hivyo watu wa kusoma tupo.

Halafu pili, msomi kama yeye anatakiwa kujua kuwa kuandika ni kuweka record for posterity, hata kama watu wa kusoma hawapo, miaka ijayo watasoma tu.

Tunatofautiana standards.

That answe was ignorant. Especially from a professor.

View: https://youtu.be/KgbOViJnBfA?si=bij_D5-ZIi60CSbB

Mla rushwa na wala rushwa huwaza rushwa tu
 
Hakuna anayeandika kila kitu, hata Mkapa tunayemjua hakuiandika hata familia yake immediate. Kam skip kabisa Peter, wakati kwenye parties zake alikuwa anamsifia sana Peter kuwa ni mtoto wake mzuri sana.

Ila, Tibaijuka kakataa kuandika chochote kuhusu maisha yake.

Halafu anatu gaslight kwamba akiandika hakuna wa kusoma.

That is another level of arrogance.

Which is another way of saying, another level of ignorance.
Kila mtu na maamuzi yake, yeye ameandika tafiti zinatosha
 
Mbona zito kabwe haumtaji.?
Walienda mpaka makaburini na waganga kutoa kafara kuzima soo.
 
Kila mtu na maamuzi yake, yeye ameandika tafiti zinatosha

Hujaelewa somo. Kabisaa.

Tatizo langu si kwamba hajaandika. Huo ni uamuzi wake binafsi. Siwezi kumlazimisha kila mtu aandike maisha yake. Nyerere hakuandika maisha yake, ingawa ningependa aandike, naelewa na kuheshimu uamuzi wake wa kutoandika maisha yake.

Tatizo ni sababu aliyotoa Tibaijuka kwa nini haandiki, sababu ya "Nikiandika atasoma nani?" ni ya kizushi, ya kutu gaslights, ni ya kijinga, ni ya mtu muongomuongo tu anayehofia makandokando yake kuonekana, ni ya mtu anayetulaumu sisi kwa makosa yake.

Nimeelezea mara kadhaa hapo juu kwamba.

1. Wasomaji tupo. Sababu ya wasomaji hawapo si kweli.

2. Hata ikiwa wasomaji hawapo kweli, msomi haandikii wasomaji wa sasa tu. Msomi anaandikia mpaka vizazi vijavyo, posterity.

3. Msomi haandikii Watanzania tu. Kama Watanzania hawasomi, watu wa nchi nyingine watasoma.

Tibaijuka anajijua ananuka rushwa tu, ndiyo maana anakosa confidence ya kuandika maisha yake.

Aache longolongo za kutu gaslight kwamba hatusomi.

Kwani hao kina Mkapa, Mwinyi, Mwapachu, Mtei, etc walioandika vitabu vya maisha yao nani anasoma?
 
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.

ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
"Kwa kifupi tu ni kwamba senti ya mboga ninayo" alisikika
 
Rushwa ni Rushwa. Hapa naongelea tunu iliyoharibika. Prof. Anna Tibaijuka na CV nzuri sana ambayo ingesaidia kuikomboa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla. Ila Rushwa ikamuaribu. Inasikitisha sana.
Anakuwaje tunu sasa wakati ni mwizi, mla RUSHWA.
 
"Mil 10 ni hela ya Mboga" kwa sauti ya Mama Tibaijuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujaelewa somo. Kabisaa.

Tatizo langu si kwamba hajaandika. Huo ni uamuzi wake binafsi. Siwezi kumlazimisha kila mtu aandike maisha yake. Nyerere hakuandika maisha yake, ingawa ningependa aandike, naelewa na kuheshinu uamuzi wake wa kutoandika maisha yake.

Tatizo ni sababu aliyotoa kwa nini haandiki, sababu ya "Nikiandika atasoma nani?" ni ya kizushi, ya kutu gaslights, ni ya kijinga, ni ya mtu muongomuongo tu anayehofia makandokando yake kuonekana, ni ya mtu anayetulaumu sisi kwa makosa yake.
Mimi naona yupo sawa. Wanasayansi wanapenda watu wengi wasome maandiko yao.
 
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.

ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Huyo Anna amesoma lakini hajaelimika, ni mjinga tu.
 
Mimi naona yupo sawa. Wanasayansi wanapenda watu wengi wasome maandiko yao.
Siongelei maandiko. Naongelea sababu zake za kusema haandiki kuhusu maisha yake.

Inaonekana una tatizo la kuelewa mambo madogo.

Inawezekana tusiweze kuelewana kabisa kwa tatizo lako hili.
 
Back
Top Bottom