Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

Nilimsikiliza

She was like Ana hang over

Hakujipanga
 
Mungu wa wapi huyo aliyemweka nje ya siasa Prof Tibaijuka!? Si alistafu siasa mwenyewe Kwa kinywa chake alisema 2020 hagombei tena!!
Baada ya kusoma upepo, alikuwa haivi chungu kimoja na Magu

WanaMuleba hao ndio walikuwa washamchoka kabisa

Kumbuka kipindi kile yupo kata ya Nshamba alishawahi kurushiwa vifungashio vya vodka kisa alishawahi kusema 'vijana wa Nshamba ni wanywa viroba'
 
Wanasiasa wakianza hua ni wazuri. Kadri siku zinavyozidi kwenda wanaingiwa na tamaa
 
Umeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.
Prof. ameandika vitabu kadhaa mfano ni Building Prosperity na Strategies for Small Agricultural Development in West Lake Region.
Humu tupo wajuaji wengi mno...
 

Sikiliza tena clip yake vizuri maana naona hukuelewa hoja yake kabisa.

Information analysis and evaluation ni taaluma ya watu.

Usivamie mambo haya maana yanakupita kimo.

Alichosema ni kwamba kama akiandika kitabu hicho kitakuwa na maudhui yaliyoshiba kiasi kwamba kitatikisa nchi.
 
Umeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.
Prof. ameandika vitabu kadhaa mfano ni Building Prosperity na Strategies for Small Agricultural Development in West Lake Region.
Akafundishe huko

Ova
 
Sikiliza tena clip. Hukuelewa hoja yake. Information analysis and evaluation ni taaluma ya watu. Usivamie mambo haya.

Alichosema ni kwamba kama akiandika kitabu hicho kitakuwa na maudhui yaliyoshiba kiasi kwamba kitatikisa nchi.
Hakukejeli kwamba akiandika nani atasoma?

Kwa nini asiandike tuone kama kitatikisa au hakitatikisa nchi anatutishia nyau?

Huyo ni mla rushwa tu, anaogopa skeletons in her closet, aache longolongo.
 
Hoja yake mama hapo ilikuwa Watanzania wengi hawana utamaduni wa kusoma vitabu! Hata akiandika wasomaji hawapo!
 
Tiba sidhani kama anahitaji tena kuwa na CV kubwa kuzidi hapo alipofikia! Serikali ya Mkwere ilikuwa ya wapigaji, sasa yeye ni nani hata akatae? Na nafikri kule kwenye ardhi alipiga sana kule Kigamboni mpaka Ndugulile akalia!
 
Hoja yake mama hapo ilikuwa Watanzania wengi hawana utamaduni wa kusoma vitabu! Hata akiandika wasomaji hawapo!
Hiyo si hoja ya kisomi.

Kwanza ni hoja ya kuangalia wengi, a logical fallacy. Tupo tunaosoma. Nimetaja vitabu vya waandishi wa Tanzania vilivyotoka hivi karibuni ambavyo nimesoma, see post #14. Kila mwaka naletewa vitabu kutoka Tanzania angalau mara mbili. Yeye kutoandika ni kutunyima.

Pili, msomi haandiki kwa watu waliopo sasa tu, msomi anaandika hata kwa vizazi vijavyo, posterity.

Tatu, si lazima wasome Watanzania tu, kuna dunia nzima ingeweza kufaidika na maandiko yake. Huyu ni mtu wa kimataifa, kakaa kwenye mizunguko ya kibalozi, kafanya kazi Umoja wa Mataifa UN HABITAT, anatakiwa awe anaijua dunia.

Sasa msomi gani anakuwa na mawazo finyu hivyo ya kuangalia leo tu, kutoangalia vizazi vijavyo?

Msomi gani anakuwa na mawazo finyu hivyo ya kuangalia Watanzania tu, wakati kuna dunia nzima ya watu wanaosoma huko?
 
Ana kibri..!
 
Tulimshangaa alipoingia siasa za kuchafuana za ki ccm

Tunamkumbuka miaka ya 90 alipoanzisha bawacha, ccm wafamfanyia figisu akaenda zake UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…