Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Qatar imefanya vzr kununua na pia imaefanya vzr kukatah maswala ya ushoga ktk ardh yake

Hao wazungu siku hz Ni mijitu ya ogyo
una uhakika Qatar hakuna mashoga? yaan hakuna waqatar mashoga?
 
Wazungu ni wapuuzi, Nasimama na Qatar kwenye hili.
utakuta waarab wa Qatar wanajifanya kukataa lakin huko huko
o kuna wanaofanya na kufanyiwa
na hiyo michezo. Kwa kifupi jamii ya kiarabu na ushoga ni pete na kidole ingekuwa jamii ya waasia kama wajapan wachina labda ndiyo michezo hiyo siyo mambo zao lakin siyo waarab ndiyo maana maeneo ya pwani zenji tanga alikotawal mwarab ushoga umetamalak kama zenji dah watoto wa kiume wanalindwa mnoo kuliko wa kike
 

Wagalatia muna shida sana, yana mabwana zenu wapo bzy na kutumia nguvu nyingi kulazimisha ushoga kila sehemu nyinyi munajifanya kuleta shutuma kwa hao wanaoupinga huo ushoga kwa nguvu zote.
Mumechanganyikiwa kwa kweli.
 
Ivi awa majuba walishindwa ata kupeleka kombe la dunia China huko


Mimi sisapoti ushoga ila kombe la dunia quatar wamezingua sjui waliona nini huko hakuna ata mvuto aise.

Kwani umeenda mkuu?[emoji2957]
 

Hizo pombe si unywee kwako!!kwani lazima ulewe mbele ya watu ndo utakuwa mlevi mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…