Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Haya yote kwanini hawakuongea miaka 12 iliyopita? hata Klopp kasema mlikuwa mnayajuwa yote haya miaka 12 huko leo mnajifanya kushangaa? Mimi siungi mkono Qatar na sio kwa sababu hawataki mambo ya ushoga ambayo mimi binafsi nawaunga mkono Qatar, lakini je kuanzia sasa kigezo cha kukubali mashoga ndio kupata world cup? kama ni hivyo tuwe na makombe mawili ya dunia moja ya mashoga na nyingine ya wote maana kwa maana hii hakutakuwa na kombe la dunia Africa na sehemu kubwa ya Asia sababu haya kisheria hayakubaliki. Mambo ya mpira ushoga wa nini? kwani wakija kimya na kuangalia mpira shida iko wapi? wanataka waje na kupeperusha bendera zao bila kujali kuna watu hawakubali maana hata huko kwao bado kwenye mpira hayajakubaliwa ni kulazimishwa tu na kujifanya kuunga mkono lakini huwa wanatangaza mashoga wakistaafu mpira na michezo mingine. watuache tuangalie mpira
 
Mizungu inadhani kombe la Dunia inabidi ifanyike nchini mwao tu. Hili ni kombe la Dunia nchi yeyote yenye nyenzo za kuhost should be able to bid and host one.
Wanaleta kigezo cha ushoga mawili hawataki wengine waandae au ndio sera zao mpya za kueneza ushoga maana misaada wametishia watu wamesema potelea mbali na pesa zenu sisi tuna dini zetu na tamaduni zetu wameona watushike kwenye sports sasa. Na hili soon tutawaambia potelea mbali.
 
Unakataa ushoga una ruhusu pombe? hio ni dini gani?
wameambia waende kuangalia mpira wala hawajakatazwa wao wanataka serikali itamke rasmi ushoga fresh tu na wanataka kurusha mabendera yao ya rangi viwanjani ili iweje? hawataki kuheshimu kuwa kuna watu hawakubali hayo mambo. Wa wazungu wanasheria zao na ukienda kwao unafuata sheria zao kama huko France marufuku wanawake kujifunika ok nchi yao na haki yao kutunga sheria watu wameandamana mpaka wamechoka sheria za wengi zimepita. kawaida unaenda kwa mtu unaheshimu sheria zake hutaki unaacha kwenda mbona kazi ndogo tu.
 
Ushoga sio concerned kwa mtu ambaye sio shoga, tatizo ni kukataza mpaka bia yaan unywe mafichoni
Kwani hapa bia tunakunywa wapi? si ziko sehemu tunakunywa zimejengwa kwa hilo maana mimi sijawahi hata kuona mtu anatembea sokoni au barabarani kashika chupa ya bia, ziko sehemu kaa kunywa hapo Dubai kuna starehe zote ila sio kiholela tu sehemu za kunywa zimejaa kanywe mpaka ubebwe.
 
Watu wameona ushoga tu ila ukweli ni kwamba waarbu wamezuia vitu vingi...Ulevi,Uzinzi,Ulaji wa kitimoto nk

Binafsi naona kombe la dunia ni sehemu ya kwenda kusheherekea unazuiaje pombe kwa misingi ya dini yako?
 
Watu wameona ushoga tu ila ukweli ni kwamba waarbu wamezuia vitu vingi...Ulevi,Uzinzi,Ulaji wa kitimoto nk

Binafsi naona kombe la dunia ni sehemu ya kwenda kusheherekea unazuiaje pombe kwa misingi ya dini yako?
Wafurahie magoli na kushangilia nchi zao
Ila wakitaka starehe zipo sehemu za starehe na kama ni mashoga Tel Aviv wana host kila mwaka na wanakutana huko
 
Nenda reply #9 na #28 utajua nani alieanza kumquote mwenzie.

Punguza ujuaji mzebaba.
Nenda post # 33 au umeamua tu kujizima data?

Nilikuuliza,Kwako wewe unasema Qatar hamna amsha amsha coz hawataki ushoga? Badala ya kujibu ulichoulizwa ukaja na ngonjera ndefu.
 
Wherever there is Money..., there is Crime.....

Hii ipo since Beginning of Time
 
World Cup its all about Money and Sponsorship....

Sasa ukitakataza watu wasibugie kina Budwiser unategemea Budwiser na wenzake kina Stella hivyo vimiminika wavipeleke wapi ?

Nadhani hawa jamaa kuja kutunikiwa tena hii fursa inayotemegea sponsorship kama its cashcow itakuwa ni ndoto
 
Nenda post # 33 au umeamua tu kujizima data?

Nilikuuliza,Kwako wewe unasema Qatar hamna amsha amsha coz hawataki ushoga? Badala ya kujibu ulichoulizwa ukaja na ngonjera ndefu.
Hahahahaha mkuu, umeuliza nani alianza kumquote mwenzie, nimekupa ushahidi utiririke nao.

Sasa kwa akili fupi tu kati ya post #9, #28 na hiyo yako #33 ipi ni ya kwanza??

Muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Wewe ndo umeshoboka na post #9, chutama kama wewe ni muungwana.
 
Hahahahaha mkuu, umeuliza nani alianza kumquote mwenzie, nimekupa ushahidi utiririke nao.

Sasa kwa akili fupi tu kati ya post #9, #28 na hiyo yako #33 ipi ni ya kwanza??

Muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Wewe ndo umeshoboka na post #9, chutama kama wewe ni muungwana.
Wewe ni mpuuzi na una akili za kitoto,ngoja nikuache.
 
Na wanasema kombe la Dunia likiisha wanaya dismantled viwanja na viti vyote kugawa nchi masikini

Hapo naona kuna mataifa wameisha weka order
wamejenga kijiji cha kombe la dunia kwa kutumia makontena ..vyumba vipo 6000 kila chumba kulala kwa siku moja ni dola 200 na unaambiwa vimeshabukiwa vyote yani watu wameshavilipia awa jamaa wanaenda kurudsha pesa yao yote
 
Wajomba wana jeuri mnoo.

Sasa wao wananufaika nini mkuu, maana kusema pesa yao itarudi, sidhani kabisa maana naskia hadi pesa ya maandalizi toka fifa wameikataa.

Nikajua labda ni ushawaishi wa nchi za magharibi ili kupenyeza ajenda zao ila kwa hapo naanza kuamini ni ujeuri yao tu.
Qatar,saud arabai na Libya ya kipindi cha gadafi ndio nchi zilizokuwa zimeifadhi pesa kwa ajili ya generation zijazo yani watu mambo ya mabajeti sijui uchafu gani wameshamaliza wanaweka pesa kwa ajili ya kizazi kijacho kuhusu pesa zao kurudi awa jamaa sidhani kama wanaitaji sana pesa zao kurudi zaidi ya kuweka historia kuwa wamevunja record ya dunia kwa bajeti kubwa ya maandalizi..
 
wazungu wenyewe ndio wamekataa kombe ilo kuchezwa mwezi wa 6 Qatar kwasababu ya joto ,Qatar walisema kama ishu ni Joto kutakuwa na AC viwanja vyote mitaani adi barabarani[emoji23][emoji23] jamaa wana jeuri ya pesa ndio nchi iliyovunja record kwa maandalizi ya kombe la dunia dola billioni 200 sawa na tirioni 456 na zaidi za kitanzania yani bajeti yetu ya miaka karibu 9 watu wanatumia kuandalia kombe tu, na nasikia wameweka record nyingine ya kuweza kuweka screen yani smart TV yenye ubora wa 8K siyo 4k kama za uku kwetu yenye urefu wa mita 62 kwa ajili ya watu watakaokuwa nje ya uwanja kuweza kuangalia..
Nawakubari Qatar, piga marufuku ushoga na rainbow, mkitaka ushoga nendeni mkaufanyie Marekani sio Qatar,
 
Back
Top Bottom