Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni moja ya comment ya hovyo kabisaKwahiyo kwakuwa Qatar inapinga mahusiano ya jinsia moja wazungu wanaona haikutakiwa kuwa mwenyeji wa World Cup?
Laana kabisa.
Kukosa kazi Ni kubaya sanaSikubaliani na Ushoga ila kombe la dunia kufanyika Qatar ni makosa makubwa ni rushwa tu ndio imefanya haya
Kuruhusu hawawezi ni kama pombe tu sio kua imeruhusiwa directly ila wameruhusu kampuni moja.Wakiruhusu Ushoga?
Wakiruhusu tu na Qatar yenyewe itapotea kwenye uso wa dunia,Kama mpaka sasa msimamo wao uko hivo ni wazi kua hawawezi kuruhusu
Kwahiyo kwako wewe ushoga ndio amsha amsha?Qatar hamna amsha amsha udini mwingi.
Kwasababu imepinga ushoga?Hii ni moja ya comment ya hovyo kabisa
Sawa mvaa shanga umesomeka.Kwa wavaa kubaz
Vyote mkuu ni Mashindano ya Dunia kwenye:Kwani hilo kombe la dunia ni mashindano ya mpira wa miguu au mapenzi ya jinsia moja ? Maana naona kama agenda zinachanganywa
Ushoga kwenye mpira mbona umeshaingia siku nyingi tu. Unadhani kwa nini makaptein wa EPL kipindi cha mwezi novemba huvaa beji zenye rangi ya upinde wa mvuaHivi rushwa Huwa inaonekana pale tu marekani anaposhindwa, wamesahau kuhusu ujerumani alivyoshinda uwenyeji wa kombe la dunia dhidi ya Africa kusini
Marekani keshaona jinsi mpira wa miguu unavyopendwa Kwa hiyo anataka kuucontrol na kuingiza upuuzi wake wa mambo ya ushoga
Mbona mnauongelea sana ushoga? Mnaupenda sana au niaje??Kwahiyo kwako wewe ushoga ndio amsha amsha?
Tatizo ni nini hasa...? kuna nini kilicho pungua mpaka isiwe qatari...!? mashoga wa Tz nanyie mna unga juhudi za mabeberu wanao tafunwa mikund* huko Europe na America acheni ufala mbungi ina pigwa popote mazee na hii dunia hamta weza kuitawala bloodfucken [emoji849][emoji855]Sikubaliani na Ushoga ila kombe la dunia kufanyika Qatar ni makosa makubwa ni rushwa tu ndio imefanya haya
Mi nadhani Marekani haijutii world cup kulipelekwa huko, wana ajenda zao na huenda nao wana mkono wao ili wasambaze mambo yao na kuiharibu kimaadili au kujaribu kuingiza ajenda zao.Wakiruhusu tu na Qatar yenyewe itapotea kwenye uso wa dunia,
Unaijua qatar mkuu?Kwamba Qatar Wana Pesa Chafu kuizidi Marekani?
Ndio hivyo huko kunaenda kufanyika Ufuska wa kiwango cha juu, na hawawezi kuwazuia labda wawapige risasi za motoMi nadhani Marekani haijutii world cup kulipelekwa huko, wana ajenda zao na huenda nao wana mkono wao ili wasambaze mambo yao na kuiharibu kimaadili au kujaribu kuingiza ajenda zao.
Qatar Airways ndio naijua wewe unaijua?Unaijua qatar mkuu?