Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Wakiruhusu Ushoga?
Kuruhusu hawawezi ni kama pombe tu sio kua imeruhusiwa directly ila wameruhusu kampuni moja.

Ila ushoga sifhani kama wanawez kuruhusu mkuu.
Kama mpaka sasa msimamo wao uko hivo ni wazi kua hawawezi kuruhusu.
 
Kwani hilo kombe la dunia ni mashindano ya mpira wa miguu au mapenzi ya jinsia moja ? Maana naona kama agenda zinachanganywa
Vyote mkuu ni Mashindano ya Dunia kwenye:

Pombe
Malaya & Ufuska
Mashoga & Wasagaji
Wala mnyama (Kitimoto)
Mpira wenyewe

Ipo hivyo ila mpira umewekwa tu km Center of Attention
 
Hivi rushwa Huwa inaonekana pale tu marekani anaposhindwa, wamesahau kuhusu ujerumani alivyoshinda uwenyeji wa kombe la dunia dhidi ya Africa kusini

Marekani keshaona jinsi mpira wa miguu unavyopendwa Kwa hiyo anataka kuucontrol na kuingiza upuuzi wake wa mambo ya ushoga
Ushoga kwenye mpira mbona umeshaingia siku nyingi tu. Unadhani kwa nini makaptein wa EPL kipindi cha mwezi novemba huvaa beji zenye rangi ya upinde wa mvua
 
Kwahiyo kwako wewe ushoga ndio amsha amsha?
Mbona mnauongelea sana ushoga? Mnaupenda sana au niaje??

Kama wewe sio shoga, huusiki na mambo ya kishoga. Mambo kishoga ya Qatar na marekani wewe yanakuhusu nini??

Huko wanatumia sheria za kiislam hivyo ni mengi yaliyokatazwa sio ushoga tu hata kulala na demu wako imekatazwa, pombe kampuni ni moja tu n.k

Lakini wewe umeona ushoga tu, au ndo ulichokijaza kichwani.
 
Sikubaliani na Ushoga ila kombe la dunia kufanyika Qatar ni makosa makubwa ni rushwa tu ndio imefanya haya
Tatizo ni nini hasa...? kuna nini kilicho pungua mpaka isiwe qatari...!? mashoga wa Tz nanyie mna unga juhudi za mabeberu wanao tafunwa mikund* huko Europe na America acheni ufala mbungi ina pigwa popote mazee na hii dunia hamta weza kuitawala bloodfucken [emoji849][emoji855]
 
Mi nadhani Marekani haijutii world cup kulipelekwa huko, wana ajenda zao na huenda nao wana mkono wao ili wasambaze mambo yao na kuiharibu kimaadili au kujaribu kuingiza ajenda zao.
Ndio hivyo huko kunaenda kufanyika Ufuska wa kiwango cha juu, na hawawezi kuwazuia labda wawapige risasi za moto
 
Ni ajabu kuona Waafrika nao wanasapoti hizi kampeni za kijinga kuhusu Qatar kana kwamba hatuwajui.

Ndio ishakua hivyo hawataki wabaki kwao
 
Back
Top Bottom