Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uhakika Qatar hakuna mashoga? yaan hakuna waqatar mashoga?Qatar imefanya vzr kununua na pia imaefanya vzr kukatah maswala ya ushoga ktk ardh yake
Hao wazungu siku hz Ni mijitu ya ogyo
utakuta waarab wa Qatar wanajifanya kukataa lakin huko hukoWazungu ni wapuuzi, Nasimama na Qatar kwenye hili.
utakuta waarab wa Qatar wanajifanya kukataa lakin huko huko
o kuna wanaofanya na kufanyiwa
na hiyo michezo. Kwa kifupi jamii ya kiarabu na ushoga ni pete na kidole ingekuwa jamii ya waasia kama wajapan wachina labda ndiyo michezo hiyo siyo mambo zao lakin siyo waarab ndiyo maana maeneo ya pwani zenji tanga alikotawal mwarab ushoga umetamalak kama zenji dah watoto wa kiume wanalindwa mnoo kuliko wa kike
Ivi awa majuba walishindwa ata kupeleka kombe la dunia China huko
Mimi sisapoti ushoga ila kombe la dunia quatar wamezingua sjui waliona nini huko hakuna ata mvuto aise.
Mnakuwaga na mawazo ya kisen*e muda wote mnawaza Ushoga kwani Huwa unatatuliwa marinda nn Kuna mamb mengi ok Kwa mfan mm ni mnywaji wa pombe vip sasa unipangie Kombe la dunia kufanyika Qatar ni Upuuzi mtupu
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app