Rushwa inanuka na udhaifu wa wakuu wa Wilaya

Rushwa inanuka na udhaifu wa wakuu wa Wilaya

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo kwa miaka mingi sana, ilishamiri mno kipindi cha awamu ya nne, pale nchi ilipopata changamoto ya uakame miaka ya 2006 mpaka 2007 wafugaji walihama hama sana kutoka mwanza geita kahama simiyu arusha manyara kuelekea kusini , bonde la usangu, wami , kilombero hadi kusini kabisa rufiji na tunduru kitu ambacho kilikuwa adimu sana katika kusambaa kwao waligombana sana na wakulima lakini walilindwa sana kwa sababu ya uwezo wao kifedha.

Hasara.

1. Hawa wafugaji wamesababisha zaidi ya vifo 1210 kwa takwimu za 2000 mpaka 2014 wameharibu jumla ya hekari 54,000 za mazao kutokana na tume na report ya tume ya mwaka 2014 iliyoondoa mawaziri 4 kazini.

2. Wamekuwa kichocheo cha rushwa kwa wakuu wa wilaya na ma OCD huwa wanatenga kabisa kuanzia milioni 10 mpaka 20 case studies Mabwegere morogoro wilaya ya kilosa 2012-2014

3 Suluhu.

Mbona zoezi ni rahisi sana nashangaa nchi nzima tunalia lia , mbona kipindi cha magufuli waliacha uchokozi wamerudi juzi ? Dawa kila fugaji akiingiza mifugo kwa wakulima kamateni wote uzeni wote jengeeni hela shule au zahanatu au watoe ikopo kwa vijana kwenye hicho kijiji

Kutakuwa na wabishi wachache , tusipotezeane muda achapwe risasi ili iwe fundisho na kwa wenzake kutakuwa na kelele za muda mfupi lakini itaokoa migogoro mazima.

4 Njia zingine za kuwaelimisha , kuwatengea maeneo na kuwafundisha kulima majani na kuwachimbia mabwawa ya ruzuku ziwe zinaendelea lakini RISASI ZIWE ZIMETANGULIA KUONDOA MIGOGORO YA KITOTO KILA SIKU

iNAKERA UNAWASHA TV unaona matatizo hayo hayo kila siku yeney suluhu nyepesi
 
Back
Top Bottom