Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

Paskali Mayalla ndio aliingizwa mkenge na propaganda mfu eti kuwa sasa hivi rushwa imedhibitiwa ccm, na kila mtu anaweza kugombea bila kujali utajiri wake. Akajichanganya akaliwa kahela kake akaishia kupata kura moja. Alidhani zile mada zake anazoanzishi huku kwenye mitandao ya kijamii zitambeba kwakuwa huwa anajiita mzalendo. Kumbe hajajua hilo neno uzalendo linatumika kama gia ya kuhadaa mabwege. Matokeo yake walioshinda na watakaopitishwa, wengi ni hao hao watoa rushwa.
Aligombea wapi mkuu/jimbo? ndiyo maana alipotea kwenye jukwaa. tumpe matokeo mkuu
 
Aligombea wapi mkuu/jimbo? ndiyo maana alipotea kwenye jukwaa. tumpe matokeo mkuu

Kawe hapo, akaleta na uzi wa kujikosha. Kashindwa mpaka na muhuni kama Gwajima.
 
Back
Top Bottom