Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

Nilichogundua watanzania wengi wanapenda rushwa iwe kutoa ama kupokea maana hapa badala ya kukemea kjjana mwenzetu kuombwa rushwa ili agongewe muhuri badala yake mnamponda kwamba atoe rushwa.

Ndiyo maana hata askari barabarani wamehalalisha rushwa kama sehemu ya maisha yao kwasababu wanaoombwa ndiyo wa kwanza wanajionea sawa tu.
 
2000 ni ya mjumbe akikuandikia barua ila kwa mwenyekiti ni zaidi. Mf umenunua eneo, ukitaka ushuhuda wa serikali ya mtaa unapigwa asilimia 10 ya bei ya kununua. Haipo kisheria ila hayo ndio marupurupu yao.
 
HUMU NDIO KWA MA GREAT THINKER? AMA KWELI WANANCHI MMEOZA WAZEE WA HOVYO
 
Hao wanapewa MUHURI, hawalipwi chochote.

Tuwapambanie walipwe pia baada ya kupunguza mshahara wa mbunge Toka ml 18 Hadi ml 4.

Mpe hata 2000 Ili watoto wake wapate kula.
Nani kakwambia mtendaji wa mtaa halipwi? Mtendaji wa mtaa, kijiji na kata hao ni wafanyakazi wa serikali walio chini ya halmashauri wanalipa sawa sawa na fanyakazi wengine wa serikalini kulingana na madaraja yao.

Changamoto inakuja kwenye tamaa ya kujikusanyia ela nje na mishahara yao pia kuna mda hawapewi pesa ya kuendesha shughuri za ofisi sasa usipo fanya hv unaweza jikuta huo hun mshahara mdogo unatumia kuhudumia na ofisi.
 
Back
Top Bottom