Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Nilichogundua watanzania wengi wanapenda rushwa iwe kutoa ama kupokea maana hapa badala ya kukemea kjjana mwenzetu kuombwa rushwa ili agongewe muhuri badala yake mnamponda kwamba atoe rushwa.
Ndiyo maana hata askari barabarani wamehalalisha rushwa kama sehemu ya maisha yao kwasababu wanaoombwa ndiyo wa kwanza wanajionea sawa tu.
Ndiyo maana hata askari barabarani wamehalalisha rushwa kama sehemu ya maisha yao kwasababu wanaoombwa ndiyo wa kwanza wanajionea sawa tu.