Nani kakwambia mtendaji wa mtaa halipwi? Mtendaji wa mtaa, kijiji na kata hao ni wafanyakazi wa serikali walio chini ya halmashauri wanalipa sawa sawa na fanyakazi wengine wa serikalini kulingana na madaraja yao.Hao wanapewa MUHURI, hawalipwi chochote.
Tuwapambanie walipwe pia baada ya kupunguza mshahara wa mbunge Toka ml 18 Hadi ml 4.
Mpe hata 2000 Ili watoto wake wapate kula.
Unajifanya hujuiShule gani?
Hahahah πππ sifundishi mkuu umenifananishaUnajifanya hujui
Hiyo unayolipwa 400k
Halafu unafundisha chemistry and biology
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app