Rushwa na Hongo

Rushwa na Hongo

Haya ni maneno tofauti,ingawa hutumiwa na wasemaji wengi wa kiswahili kumaanisha hali moja. Hongo ni tozo sawasawa na kodi,kwa mfano watawala wa jadi waliwatoza au waliwasamehe wafanyabiashara waliopita au kufanya biashara kwenye himaya zao,kwa hiyo hongo lina uhalali unaendana na maadili ya jamii,rushwa haina uhalali wa tozo kimaadi,kwani ni uharifu. Tatizo lililetwa pale watemi walipoitumia hongo kama silaha ya kukomoa,na huo ndiyo ukawa mwanzo wa wadau kutozitofautisha dhana hizi.
 
Kwa maoni yangu naona rushwa lina asili ya kiarabu ilhali hongo ni neno lenye asili ya kibantu
 
aisee umenifungua sana, nilikua najua hongo ni interms of monetary valuee

Back
Top Bottom