Ujamaa ni atheism ideology
Watu wa Mungu tunaamini katika ubepari, Adam na Hawa walikuwa wabepari
Mungu alivyotuondoa peponi na kutuleta duniani alituwekea spirit ya ubepari na ujasiriamali ili tuweze kutafuta riziki zetu.
Mjamaa ni adui wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujamaa ni atheism ideology
Watu wa Mungu tunaamini katika ubepari, Adam na Hawa walikuwa wabepari
Mungu alivyotuondoa peponi na kutuleta duniani alituwekea spirit ya ubepari na ujasiriamali ili tuweze kutafuta riziki zetu.
Mjamaa ni adui wa Mungu
Swali la msingi:ni kwann kwenye nchi za kidiktekta vurugu na mapinduzi ndo huwa vinashamiri sana,Mfano USSR ambako hakukua na chama pinzani.ulifeli au ulifelishwa?? na waliofelisha unajua kwanin waliufelisha? , hile ndio system ya maisha ya mwanadamu kuongozwa kitem, hizo mambo za demokrasia sio mfumo halali wa uongoz ndy maana unaona hauna faida zaid ya malumbano,machafuko na ushenz wakila aina,
Kwenye demokrasia huwa Hakuna machafuko,bali kwenye mifumo ya kijamaa na udikteta.ulifeli au ulifelishwa?? na waliofelisha unajua kwanin waliufelisha? , hile ndio system ya maisha ya mwanadamu kuongozwa kitem, hizo mambo za demokrasia sio mfumo halali wa uongoz ndy maana unaona hauna faida zaid ya malumbano,machafuko na ushenz wakila aina,
ccm hawafai kuwaita wana ujamaa, hawa ni takatakaKwenye demokrasia huwa Hakuna machafuko,bali kwenye mifumo ya kijamaa na udikteta.
Chanzo cha vita vingi afrika ni udikteta yaani mtu mmoja kumiliki mawazo ya wengi,hii upingana na kanuni ya kimaumbile.
Kama uonavyo ccm wanaamini wao ndio wanayo haki ya kuongoza watz hata kama watz hawataki,thus wanalazimika kutumia police Ili waendelee kubakia madarakani lakini wanasahau kitu kimoja kizazi cha sasa kina global thinking na hakina cha kupoteza.Maana ccm imewatelekeza check mfano wa ujamaa unaousema.Ujamaa unawafeva wachache watawala wakiishi kianasa huku watawaliwa wakiwa dhoofu hali.
View attachment 1883020
View attachment 1883021
m nazan chuki za mabepar znawacost hawa wa ujamaa, maana mabapar ziku zote hufanya figisu kuwachanganya wajamaaTakwimu zinaonyesha mataifa ya kibepari ndiyo yenye uchumi mkubwa zaidi kuliko ya kijamaa
Kumbe unadhani tu ?m nazan chuki za mabepar znawacost hawa wa ujamaa, maana mabapar ziku zote hufanya figisu kuwachanganya wajamaa

Yafaa tupate chama kingine kisicho na maagano na shetaniccm hawafai kuwaita wana ujamaa, hawa ni takataka