Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

Ujamaa ni atheism ideology

Watu wa Mungu tunaamini katika ubepari, Adam na Hawa walikuwa wabepari

Mungu alivyotuondoa peponi na kutuleta duniani alituwekea spirit ya ubepari na ujasiriamali ili tuweze kutafuta riziki zetu.

Mjamaa ni adui wa Mungu
 
Swali la msingi:ni kwann kwenye nchi za kidiktekta vurugu na mapinduzi ndo huwa vinashamiri sana,Mfano USSR ambako hakukua na chama pinzani.
 
Athari za ujamaa unaziona kwenye police Kazi ya police ni kulinda chama.
 
Kwenye demokrasia huwa Hakuna machafuko,bali kwenye mifumo ya kijamaa na udikteta.
Chanzo cha vita vingi afrika ni udikteta yaani mtu mmoja kumiliki mawazo ya wengi,hii upingana na kanuni ya kimaumbile.
Kama uonavyo ccm wanaamini wao ndio wanayo haki ya kuongoza watz hata kama watz hawataki,thus wanalazimika kutumia police Ili waendelee kubakia madarakani lakini wanasahau kitu kimoja kizazi cha sasa kina global thinking na hakina cha kupoteza.Maana ccm imewatelekeza check mfano wa ujamaa unaousema.Ujamaa unawafeva wachache watawala wakiishi kianasa huku watawaliwa wakiwa dhoofu hali.

ccm hawafai kuwaita wana ujamaa, hawa ni takataka
 
m nazan chuki za mabepar znawacost hawa wa ujamaa, maana mabapar ziku zote hufanya figisu kuwachanganya wajamaa
Kumbe unadhani tu ?

Ungeleta facts kwanini mataifa hayo ni tajiri na standard bora za maisha kuliko yenye ujamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…