Empty, defacing allegations from disgruntled studentimekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
imekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
mtu anaejiunga na chuo kikuu ana hakili timamu.ila kuna baadhi wenye akili za kipimbi wanaopenda digree za kuvua chupi badala ya kusoma.wanakesha madisco then baadae wanavua chupi wanapewa max za mezani.hawa ndo hatari ktk utumish wa umma cz wanagraduate kichwani kumejaa ngono.ndo maana mnaweza kujazana kwenye foleni bank huku bank teller akiangalia ponograph anawaambia network inazingua.pia kuna baadhi ya malecturer wenye tabia za kipuuzi anabana max ili tu ampate binti flani au amkomoe mshikaji flani mwenye intrest na dem anae mpenda.ndo maana most of them ni victims.nime experience wakifariki watu kadhaa kwa ngoma kabla sijagraduate ktk chuo nilichosoma.akiwepo lecturer.
ni jukumu la hao wamaopata degree za ngono kufikiria upya mustakabali wa maisha yao baadae na si kufaulu kisha kufa kwa ukimwi
imekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
Sikuhiz mabint wa chuo wanataka kuwa matutorial ,ndio maana mimi malecturer mabinti sina imani nao kabisaa na gpa zao