imekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea