Rushwa ya ngono vyuoni

kweli kwa mungu mbali aisee unataka kutuaminisha kuwa hao ndio waathirika wakuu wa HIV
SAS BASI NOWDAYS KHAKI SAWA KAMA UNAONA HAO WATOTO WAKIKE WANAFAIDI NAKUFAULISHWA NA WEWE RUKSA NENDA UTOE MZIGO UFAULISHE SIKUHIZI WOTE TUNAOLEWA SIO WANWAKE AU WANAUME U GET ME .POOOR DEFFENSIVE MECHANISM
 

Hata ungekuwa ni wewe usingewaacha...... Mabinti wabichiwabichi wamenona matiti yamesimama kama ncha ya mshale wa muwindaji wa kisukuma halafu wanakaa mbele darasani na vimini vifupi in such away that kila kitu unakiona bila kizuizi.... Kisha vichwani wako empty headed na wakati wa ku-sign course work wanakuomba huku wanalia uwaongezee maksi kwa ahadi kwamba "nisaidie mwalimu chochote unachotaka nitakupa....." Naapa hata wewe uliyeleta mada hii ingawa bila ushahidi ungekuwa wewe ndio "Lecturer" usingewaacha maana kila mwaka sampuli mpya (makontena mapya yanaingia) with different cargo manifesto!!!!!!!
 
Shule za sekondari zinazoongoza kwa kufanya vizuri kwenye mitihani ya taifa ni za wanafunzi wa kike. Walimu wa huko wachunguzwe.
 
Baadhi ya wasomi wanalalamikia rushwa ya ngono vyuoni.Lakini hawajasema ni kwa kiasi gani wametumia vyombo mbalimbali vilivyowekwa kuwasaidia.Mfano Ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi (Dean of Students Office),'Career Advisors', 'Student Councelors' na vyama vyenye malengo maalumu ya kusaidia wanachuo kwa mfano kuna wakati UDSM walikuwa na 'Gender Dimension Task Force' na baadaye "Gender Dimension Programme Commitee'.Pia taasisi kama TAKUKURU na Polisi. Kama mwanachuo tunatarajia ujifunze kufikiri katika upeo wa juu kuliko watu wa kawaida na pia kutatua matatizo kwa kiwango cha juu pia..
 

Hujatumalizia,
Ulimpa huyo Lecturer??
Funguka basi dada white
 
Last edited by a moderator:

Kweli aisee,
Hata mi nisingewaacha kabisa!!
 
Anyway, mimi sina ufahamu sana kuhusiana na utungaji wa mitihani ya chuo. Lakini ninafikiri kwa vyovyote vile mitihani ya chuo huwa haisahihishwi na lecturer aliyefundisha pakee. Najua huwa kuna external examinar. Na ninakumbuka hata mimi nikiwa UDSM, niliwahi kushushwa marks zangu kutoka A hadi B+, nilipouliza, nikaambiwa external examiner ndiye aliyeshushwa. Sasa nashangaa mnayesema eti lecterer anatumia lungu la kukukamata. Au huko UDOM hakuna maexternal examiner?
Na kama ni test, lectuer anatakiwa kurudisha makaratasi kwa wanafunzi. Je huwa hamlinganishi majibu yenu na ya wenzenu? Ukijua umeonewa ukirudi kwa huyo lecturer anakwambia nini? Ninachojua pia, kila chuo kina ofisi ya dean, ambapo kama mwalimu akikosesha marks halali unaweza kwenda kwa dean kushitaki. Au kuandika barua ya kukata rufaa.
Kwa kiasi kikubwa wasichana wengi wawapo vyuoni huwa ni weak sana. Wengi wao hujipendekeza/hujilengesha kwa malecturer. Lakini kama kweli huna nia ya kuwa na mahusiano na huyo lecteurer sheria zipo wazi na unaweza kumfukuzisha kazi huyo lecturer. Hii hoja ya kwamba malecturer wanafelisha naiona ni mfilisi, ni ya mtu aliyejishindwa, anatafuta namna ya kuhurumiwa.
 
Data tafadhali!
tuhache kuishi katika dunia ya kufikirika!
these are very strong allegations:they should be supported and verified with concrete data!
Hacheni akili za "KIJANI"

ma lecturer wana uwezo wa kupita hata kwa watu ishirini ukiachilia mbali hao nao pia wana watu wao na katika hao ishirin co kwamba wote ni wazima na ukiangalia rate ya wanafunzi waathirika vyuoni inaongezeka kila cku
 
Lukolo umemaliza chuo lini? Unadhani deans wa siku hizi ni washauri wanafunzi? Umeshawahi kutana na dean anayeshabikia wanafunzi wake kupata sup wengi? Hii ishu iliwahi tokea muhas miaka fulani, kilichofuata wale wote waliotoa shutuma hizo wakaanza kusakwa wao.
 
Zipo ndio..kunasomo hilo mwaka wa pili siku ya kwanza tu lecturer akasema "yani hilo somo wa ulize wenzenu waliorudia mwaka nawaona hapa, hili ukipata supp tu, nakuhakikishia huchomoi, si wezi kukatisha likizo yangu nijekutunga mtihani mrahisi".
 
Rushwa ya ngono haiwezi kuisha, dada zetu wenyewe ndiyo wanaipenda ili mambo yao yaende kirahisi!
 

hivi kwako kuna binti yoyote anakatiza kweli??
 

dah.umenichekesha sana mkuu!offcourse ndo hali halisi ya vyuoni.dada zetu wengi wananaswa kwa sababu ya kutaka maksi za dezo.jk alishawahi tamka'ukitaka kula lazima uliwe'!
 
Hata hao wadada wanatakiwa kuangalia maisha yao siyo kukubali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…