Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
kweli kwa mungu mbali aisee unataka kutuaminisha kuwa hao ndio waathirika wakuu wa HIVimekua kawaida kwa wanafunzi vyuon kutembea na ma lecturer ili kutopata sup or kudisco hii hali inakera kwa wale ambao wanasoma kwa nguvu zao na kuhatarisha maisha ya vijana wengi ambao ni taifa na viongoz wa kesho kwa kutoana na wengi wao kuishia kugraduate with HIV/AIDS...............serikali inatakiwa kutupa jicho na upande huu pia sio kuzalisha kizazi cha wagonjwa watakao tumikia taifa kwa muda mfup then upotea
SAS BASI NOWDAYS KHAKI SAWA KAMA UNAONA HAO WATOTO WAKIKE WANAFAIDI NAKUFAULISHWA NA WEWE RUKSA NENDA UTOE MZIGO UFAULISHE SIKUHIZI WOTE TUNAOLEWA SIO WANWAKE AU WANAUME U GET ME .POOOR DEFFENSIVE MECHANISM