RUSHWAAAA::La muamala wa yanga wa milioni 3 limekaaje?TAKUKURU MKO WAPI JAMANI?

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
muamala wa milioni 3 kwenda kwa yule kiungo mfupi wa Azam ambaye baba yake aliwahi kuwa mchezaji wa yanga ,uliopitia kwa wakala Thobias kiwavi toka kwa tajiri flani,hizo tuhuma Takukuru fanyieni kazi bado lisaa limoja kipute kipigwe mbutembute fc wale kipigo cha aibu
Fanyeni kazi yenu ipasavyo huyo dogo hana tofauti na Ally ally wa kmc
 
sasa hiyo milioni 3 waliyomhonga sure boy si wangewapa wachezaji wao hata laki moja moja wakanunue luku maana kuna wawili wanaishi kimara wanapiga mizinga hadi hela ya luku
 
wanatembeza bakuli ili kuhonga wachukue ubingwa wakati muda umekwenda mpaka wanasahau kulipa mishahara
 
Konyongo huzaa chuki. Furahi tu mkuu ndo yanga hiyo. Tumeyeyusha tayari ice cream huko temeke. Unaumia kabisa wananchi wakishinda si uchawi huo???
alichofanya refa kukataa goal halali la azam ni ujinga wa hali ya juu,muamala kumbe ulifika kwake pia?
 
Unafungua nyuzi nyingi zisizo na maana kuhusu Yanga halafu unazikimbia kwa aibu.
hizo hela mlizohonga kwa kina sureboy na mabeki wa azam na refa si mngewapunguzia kina juma abdul? wanatia huruma mtaani
 
Hoja ya kitoto hii ni ajab kutolewa na mtu mzima.
matokeo halali ni 1-1 goal halali lilikataliwa,imagine ingekuwa ni simba vs azam goal likakataliwa pangewaka moto leo mtandaoni zahera angepiga simu hadi makao makuu ya Caf
 
makwasukwasu yanavyojua kulalamika ingekuwa ni simba leo azam wakakataliwa lile goal salaleeeee tungejuta,,,nimeyasikia mengine yalalamika tarehe 6 wana mechi uchaguzi tarehe 5 wanadai tff inawahujumu..seriously?
 
Nakukumbusha Matokeo ya Azam na Young Africans SC, Mpira ulimzalika kwa Azam FC kufungwa 1-0 , goli la Mrisho Ngassa dakika ya 13. Utapata ujira wako kwa kuendeleza majungu!
 
Timu ya Azam ni mbovu sana, ingawa mimi si mpenzi wa timu ya Yanga,
Naamini Azam hana uwezo wa kumfunga Yanga na mechi ijayo Azam anafungwa tena.
Kwa sasa ukiwaacha Simba na Yanga timu inayofuata kwa ubora ni KMC.
Timu ya Azam haipo katika ubora ambao inatakiwa iwenao kutokana na kiwango cha uwekezaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…