Russia eyes deal to build Kenya's sole nuclear plant

Mpaka sasa kuna progress yoyote. Yaani feasibility Study au ni vitu vilivyopo kwenye policy tu!? Kama mpo kwenye progress naomba unipatie hizo references hapa.

Maana hao ROSATOM ndio walio na plan kujenga Nuclear Reactor hapa Tanzania.

Pass through this site, it has all the answers for you.
Home
 
Taarifa ya kenya toka source ya kenya. Nipe source kutoka kwenye international media au toka kwenye kampuni hiyo ya ROSATAM. Hizo ni siasa tu za uchaguzi.
Unajua this guy annael haelewi English soo try and communicate na yeye in swahili.. Ataelewa
 
Sasa information kama hiyo unaokoteza okoteza news. Yaani taarifa kubwa kama hiyo tusiisikie BBC au kwenye international media yoyote. Halafu hao link uliyoweka wamechukua kama ilivyo kutoka kwenye link ya Kenya. Yaani no edit is copy and paste. Hizo ni siasa wewe.
annael-png.483469
 
hehehehehe...umenishinda!!! believe what you want...doubting Thomas
Sasa acha uongo uongo. Wewe nakuuliza maswali ya maana unaishia mitini. Nimekueleza ulete hiyo taarifa toka kwenye source za kuaminika. Yaani news kubwa kama hiyo BBC wasi report!!?
 
unataka kusema kwamba kama habari haitoki CNN au BBC hio sio habari ya kuaminika?
 
Yaani you guys are falling for this behaviour from Tzanians. They want more info so that they can copy. Come on guys don't do that.
Next you will hear they are building their nuclear plant at half our price. And they have signed a deal with the French to build them one.
Someone had a thread here with the title. Wakitoa tunaweka ndaani kabisa
 
Wewe ni mwoga sana. Umeanza kuiogopa TZ siyo?
 
I think it's impossible to find someone as foolhardy and/or fetish for alternative facts as this so called, Annael.
I've been browsing through this thread monotonously without commenting with a reason.
Hiyo energy yote na gigabytes c nipeleke YouTube, au namna gani ?
Probably might be the moderator trying to look for arguments where there aren't any/many to ignite " bubbly " discussions.

And for the record, hii thread ime-beat and I even wonder why people can't even read basic English.
It's like kuingia kwenye " Ladies " instead of " Gents " for the 3-legged fellas.

Pameandikwa vizuri- Kenyan news & politics- yet wadhii wengine despite of kuumwa, mark you they should just lenga any thread, wana- insist on spewing their B.S. on other threads isiyowahusu.

P.S. Sorry for the essay.
 
It's like you're married to an illiterate and nagging wife & her actions and resonance make you feel like HITTING her.
 
I think it's impossible to find someone as foolhardy and/or fetish for alternative facts as this so called, Annael.
I've been browsing through this thread monotonously without commenting with a reason.
Hiyo energy yote na gigabytes c nipeleke YouTube, au namna gani ?
Probably might be the moderator trying to look for arguments where there aren't any/many to ignite " bubbly " discussions.

And for the record, hii thread ime-beat and I even wonder why people can't even read basic English.
It's like kuingia kwenye " Ladies " instead of " Gents " for the 3-legged fellas.

Pameandikwa vizuri- Kenyan news & politics- yet wadhii wengine despite of kuumwa, mark you they should just lenga any thread, wana- insist on spewing their B.S. on other threads isiyowahusu.

P.S. Sorry for the essay.
Sasa hapa unaleta hasira. Unapoleta information hakikisha ni ya kweli. Siyo uongo uongo. Ukiulizwa swali unakuja juu na kutoa maneno ya kebehi.
 
Oh and Edward Wanjala, I just saw your video of the SGR taking shape last week on YouTube. And also LightYaghami. I think the guy is on many platforms than one could imagine.
Mara nairaland, skyscraper city, Pinterest... Name them !
 
Back
Top Bottom