Russia imelipua train ikiwa na zana kivita za NATO

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
βš‘οΈπŸ‡·πŸ‡ΊRussian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:

– M113 armored personnel carriers (USA);
– SAM β€œBuk M1”;
– NATO tankers;
– BMP;
– freight vehicles;
– up to 35 Ukrainian military personnel.
 
Wakati Ukraine baada ya kupigwa kwenye mshono na wao wameilenga train ya ngano ya Russia 😁😁😁
βš‘οΈπŸ‡ΊπŸ‡¦Ukraine reportedly 'paid Russia back' by hitting a Russian train with an FPV
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
βš‘οΈπŸ‡·πŸ‡ΊRussian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:

– M113 armored personnel carriers (USA);
– SAM β€œBuk M1”;
– NATO tankers;
– BMP;
– freight vehicles;
– up to 35 Ukrainian military personnel.
Vizuri sana
 
Na kwa vile ilibeba na makombora nayo yamelipuka na kuiteketeza train hiyo
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Bro. Kama kombora unalichukulia poa hebu ngoja siku upigwe tu risasi ya 20mm caliber.
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Yani mlipuko juu ya mlipuko unategemea hapo zitakaa tu pasipo kulipukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ebu jiongeze hata tu kwa ilo
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Kama hujui vile kuwa treni inayobeba silaha hata ukipiga behewa moja ndio umeziharibu zote.Mtiisiko utasababisho miripuko na kupondeka zilizobaki.Zitahitaji matengenezo si itakuwa kama wamepokea skrepa.
 
Hivi nyinyi waswahili mkoje?
Mimi nimeuliza ,halafu badala ya kunipa maelezo ya kitaalam unakuja kuniombea nipigwe risasi ,imekaa sawa kweli hiyo?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hapo amesisitiza tu kwamba Kombora la Kivita ni kitu hatari sana haliwezi kupiga train ikabakia yote inaungua na yale yaliyomo yote hulipuka.

Manake ni kwamba Train hiyo imeisha yote haibaki...
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Kumbuka kua imepigwa Train iliyobeba explosive materials na sio train iliyobeba matenga ya vitunguu.
 
Huwa hesabu inatembea kwanza ni aina gani ya silaha itumike impact ya mlipuko both primary na secondary maana yake ukipiga ghala la silaha unalilipua kisha zile silaha zenyewe zinalipuka. Pia inapopigwq sio kwamba ni kiombora moja tu linarushwa inaweza kuwa makombora kadhaa na yanapiga sehemu tofauti mfano mbeke nyuma na katikati.
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Russia ni kama Tanzania, inaongozwa kwa utoto na propaganda nyingi.
 
Huwa hesabu inatembea kwanza ni aina gani ya silaha itumike impact ya mlipuko both primary na secondary maana yake ukipiga ghala la silaha unalilipua kisha zile silaha zenyewe zinalipuka. Pia inapopigwq sio kwamba ni kiombora moja tu linarushwa inaweza kuwa makombora kadhaa na yanapiga sehemu tofauti mfano mbeke nyuma na katikati.
Wewe Sasa ndio umenieleza kitaaalam.nimekuelewa.
Maana nilikua najiuliza kama treni imebeba miznga,vifaru na magari ya kibeba askari vyote hivyo bila risasi au makombora ni wazi haviwezi kulipuka vyote.hapo ndio ulipokua msingi wa swali langu.
Ila kama katika huo mzigo Kuna makombora hapo sawa lazima mlipuko uwe endelevu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hapo amesisitiza tu kwamba Kombora la Kivita ni kitu hatari sana haliwezi kupiga train ikabakia yote inaungua na yale yaliyomo yote hulipuka.

Manake ni kwamba Train hiyo imeisha yote haibaki...
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
βš‘οΈπŸ‡·πŸ‡ΊRussian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:

– M113 armored personnel carriers (USA);
– SAM β€œBuk M1”;
– NATO tankers;
– BMP;
– freight vehicles;
– up to 35 Ukrainian military personnel.
Lete chanzo acha kelele
 
Back
Top Bottom