Russia imelipua train ikiwa na zana kivita za NATO

Russia imelipua train ikiwa na zana kivita za NATO

Sina haja ya kukuelezea utoto wa kipenzi chako kwa sababu hata wewe una uelewa wa kitoto.
Una upeo mdogo sana.
Mmelishwa propaganda na hizo sinema zenu za Hollywood basi hamuelewi upande mwingine wa Dunia ukoje.
Nikikuuliza utoto wa Urusi ukoje huwezi kunijibu.
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
⚡️🇷🇺Russian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:

– M113 armored personnel carriers (USA);
– SAM “Buk M1”;
– NATO tankers;
– BMP;
– freight vehicles;
– up to 35 Ukrainian military personnel.
Photoshop video from masjid ubwabwa.🤣🤣🤣🤣
 
Hivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Zote mbili ni shithole countries na wewe ni raia wa shithole country
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Kwamba wew una akili kulko hao rusia intelligent
 
Hivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Huyo nimeshampuuza ,unajua tunajadiliana watu wengine walioathirika na maamuzi ya Putin,kwa mfano ndugu zetu wale walio exit magroup
 
Tatizo wabongo ujuaji mwingi kifupi wazungu huwa sio wajinga kiasi hicho kwanza huwa ni risk takers wanajua anything may happen hawawezi wakafanya combination ya tools na explosives kwa pamoja kama wewe ufanyavyo katika mambo yako sehemu ambayo inakuwa highly considered kwenye usafirishaj wa zana za vita huwa ni risk management sasa mbongo anakuchambulia utafirkiri alikuwepo na akaziona hizo silaha zikiteketea na sehemu zilipopigiwa mbele nyuma na kati na isitoshe hizi habari huwa ni secret huwezi kupata full details
 
Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
radius ya uharibifu ndio ina mater, kuna lenye uwezo wa radius hadi km 30
 
Hivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Hii style ya Mwendazake naona imerudi kwa kasi sana siku hizi. Kuna kitu hakiko sawa. Wanasema ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka
 
Back
Top Bottom