green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Vizuri sanaπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
β‘οΈπ·πΊRussian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:
β M113 armored personnel carriers (USA);
β SAM βBuk M1β;
β NATO tankers;
β BMP;
β freight vehicles;
β up to 35 Ukrainian military personnel.
Hizo ngano ndo basi tena. Dah!Wakati Ukraine baada ya kupigwa kwenye mshono na wao wameilenga train ya ngano ya Russia πππ
β‘οΈπΊπ¦Ukraine reportedly 'paid Russia back' by hitting a Russian train with an FPV
Na kwa vile ilibeba na makombora nayo yamelipuka na kuiteketeza train hiyoHua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Bro. Kama kombora unalichukulia poa hebu ngoja siku upigwe tu risasi ya 20mm caliber.Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Hivi nyinyi waswahili mkoje?Bro. Kama kombora unalichukulia poa hebu ngoja siku upigwe tu risasi ya 20mm caliber.
Yani mlipuko juu ya mlipuko unategemea hapo zitakaa tu pasipo kulipukaπππ ebu jiongeze hata tu kwa iloHua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Kama hujui vile kuwa treni inayobeba silaha hata ukipiga behewa moja ndio umeziharibu zote.Mtiisiko utasababisho miripuko na kupondeka zilizobaki.Zitahitaji matengenezo si itakuwa kama wamepokea skrepa.Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
πππππ Hapo amesisitiza tu kwamba Kombora la Kivita ni kitu hatari sana haliwezi kupiga train ikabakia yote inaungua na yale yaliyomo yote hulipuka.Hivi nyinyi waswahili mkoje?
Mimi nimeuliza ,halafu badala ya kunipa maelezo ya kitaalam unakuja kuniombea nipigwe risasi ,imekaa sawa kweli hiyo?
Kumbuka kua imepigwa Train iliyobeba explosive materials na sio train iliyobeba matenga ya vitunguu.Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Russia ni kama Tanzania, inaongozwa kwa utoto na propaganda nyingi.Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Ok mie nilikua najua silaha zenyewe hazihusishi makombora,nildhani ni mavifaru,magari ya kivita na vifaa vingine visivyolipuka.Yani mlipuko juu ya mlipuko unategemea hapo zitakaa tu pasipo kulipukaπππ ebu jiongeze hata tu kwa ilo
Una upeo mdogo sana.Russia ni kama Tanzania, inaongozwa kwa utoto na propaganda nyingi.
Wewe Sasa ndio umenieleza kitaaalam.nimekuelewa.Huwa hesabu inatembea kwanza ni aina gani ya silaha itumike impact ya mlipuko both primary na secondary maana yake ukipiga ghala la silaha unalilipua kisha zile silaha zenyewe zinalipuka. Pia inapopigwq sio kwamba ni kiombora moja tu linarushwa inaweza kuwa makombora kadhaa na yanapiga sehemu tofauti mfano mbeke nyuma na katikati.
Sawa kama explosive, sawa.Kumbuka kua imepigwa Train iliyobeba explosive materials na sio train iliyobeba matenga ya vitunguu.
πππππππππππππ Hapo amesisitiza tu kwamba Kombora la Kivita ni kitu hatari sana haliwezi kupiga train ikabakia yote inaungua na yale yaliyomo yote hulipuka.
Manake ni kwamba Train hiyo imeisha yote haibaki...
Lete chanzo acha keleleπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine