Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Una upeo mdogo sana.
Mmelishwa propaganda na hizo sinema zenu za Hollywood basi hamuelewi upande mwingine wa Dunia ukoje.
Nikikuuliza utoto wa Urusi ukoje huwezi kunijibu.
Photoshop video from masjid ubwabwa.🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
⚡️🇷🇺Russian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region.
According to Russian intelligence, the train carried:
– M113 armored personnel carriers (USA);
– SAM “Buk M1”;
– NATO tankers;
– BMP;
– freight vehicles;
– up to 35 Ukrainian military personnel.
Hivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?Russia ni kama Tanzania, inaongozwa kwa utoto na propaganda nyingi.
Hivi unaumia ukiwa wapi?Photoshop video from masjid ubwabwa.🤣🤣🤣🤣
HaaaaaaaHivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Zote mbili ni shithole countries na wewe ni raia wa shithole countryHivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Kwamba wew una akili kulko hao rusia intelligentHua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Kwani we mshabiki wa LGBTQ msikiti umeingiaje hapo?Photoshop video from masjid ubwabwa.🤣🤣🤣🤣
Huyo nimeshampuuza ,unajua tunajadiliana watu wengine walioathirika na maamuzi ya Putin,kwa mfano ndugu zetu wale walio exit magroupHivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Mimi ni mbumbumbu wa mambo ya kijeshi,nilitaka kuelimishwa TU,na tayari watu wenye fani zao wamenielimisha vizuri.Kwamba wew una akili kulko hao rusia intelligent
Wewe toka uleft group,umekua mtu wa kupayuka payuka tu,wakishakupa kadi ya uanachama wa upinde utatulia tu.Photoshop video from masjid ubwabwa.🤣🤣🤣🤣
Kama kuna vyombo vikubwa vya propaganda vinatokea huko sawaRussia ni kama Tanzania, inaongozwa kwa utoto na propaganda nyingi.
Mpuuze huyo anaropoka hajielewi.Kama kuna vyombo vikubwa vya propaganda vinatokea huko sawa
radius ya uharibifu ndio ina mater, kuna lenye uwezo wa radius hadi km 30Hua najiuliza kizembe.
Hivi Russia wanapipigaga train ya shehena za silaha,je hua kombora hilo Lina uwezo wa kuteketeza Kila silaha iliyokua ndani ya mabehewa?
Maana isiwe train inapigwa inashindwa kuendelea na safari,halafu unakuta ni mabehewa mawili matatu TU ndiyo yameharibika halafu mabehewa mengine zaidi ya 20 silaha zinakua salama kabisa ,kiasi Cha kuyainua kuzifutq vumbi silaha hizo kisha zinasafirishwa kwa njia nyingine Kupelekea front,au hua wanarudiaridia kupiga kuhakikisha hakuna silaha itatoka mzima?
Wajuzi nijuzeni.
Hii style ya Mwendazake naona imerudi kwa kasi sana siku hizi. Kuna kitu hakiko sawa. Wanasema ngoma ikivuma sana inakaribia kupasukaHivi wewe una akili kweli? Unawezaje kufananisha nchi yenye watu wenye maarifa na nchi yenye viongozi wanaosifia kiongozi mkuu kujenga matundu ya vyoo tena kwa msaada wa DANIDA?
Kuna TBC, CLOUDS FM , WASAFI MEDIA NA RUSSIA TODAY. Hivyo vyombo ni hatari kwa propaganda duniani.Kama kuna vyombo vikubwa vya propaganda vinatokea huko sawa
Na wewe utanyonywa ulimi 👅 kama Hassan alivyonyonywa na Mudy.Wewe toka uleft group,umekua mtu wa kupayuka payuka tu,wakishakupa kadi ya uanachama wa upinde utatulia tu.
Ngoja na wewe utanyonywa ulimi 👅 kama Hassan alivyonyonywa na Mudy.Kwani we mshabiki wa LGBTQ msikiti umeingiaje hapo?
......... Akhera kwa mabikra 72.Hivi unaumia ukiwa wapi?