Russia kimya kimya anajipakulia minyama $150M kwa siku kutokana na mafuta

Russia kimya kimya anajipakulia minyama $150M kwa siku kutokana na mafuta

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa.

Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya mafuta na gesi na kugeuza mgogoro huu wa mashariki ya kati kama sehemu ya kupatia faida maradufu.

20260312_222912.jpg
20260312_222911.jpg
 
Na huyu nae vipi
 

Attachments

  • Screenshot_20260312-225400_Chrome.jpg
    Screenshot_20260312-225400_Chrome.jpg
    109.1 KB · Views: 25
Kwa hiyo alimuuza Iran ili anufaike na bei juu ya mafuta. Tukiwaambiw hapa Wazungu lao moja wanajali maslahi yao mnakataa.
 
Putin kama ana akili basi achochee huo moto wa mashariki ya kati ili aendelee kujipigia pesa za wendawazimu.

Angekuwa ndio Mmarekani basi angempa silaha na code za kuendeleza vita Iran ili yeye anufaike.

Marekani wanajua sana kutumia fursa katika matatizo ya wengine.
 
Back
Top Bottom