Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
Hapa Tanzania rais anawekwa madarakani na nani ?
Tunajua Rais hapatikani kwa kura
 
Back
Top Bottom